Gharama za harusi kwa bwana harusi

Gharama za harusi kwa bwana harusi

Kwani kwao tayari posa umemwaga?
Mpwa posa tena? Sie tulikutana na mshua...mshua akaniuliza umempenda binti yangu kwa dhati...nikamwambia ndio mzee....akasema haya kaishi salama na binti yangu sitaki umtie makovu......wazazi wakatupa baraka sie haoo...
 
Harusi inafanyika kulingana na uwezo wako! Budget yako ni reference nzuri kwa harusi zilizozoeleka za kikristo.
Hata hivyo nime refresh memory.
 
Kumbe ndio maana jamaa huwa mkali kweli...
Hahaha.....huu ukali wa Paw unatokana na hasira za kunyimwa mke ati...we jaribu hata kukosea spelling uone atakavyokulima ban...

Ukimaliza kusoma delete manake mh.!
 
Mpwa, gharama za kujitakia hizo..asiulize!
Acha asubiri efaini tu!

Alafu hii ya kupiga mimba au mtu anategesha upige mimba ndo akukomalie ukamwoe unaizungumziaje?
 
Mpwa posa tena? Sie tulikutana na mshua...mshua akaniuliza umempenda binti yangu kwa dhati...nikamwambia ndio mzee....akasema haya kaishi salama na binti yangu sitaki umtie makovu......wazazi wakatupa baraka sie haoo...

Watu wa huko wana vigezo vyao eti una usafiri?, una TV? una Sofa na friji? Una account ngapi?
 
Watu wa huko wana vigezo vyao eti una usafiri?, una TV? una Sofa na friji? Una account ngapi?
Wengine utasikia ukoo wenu unaitwaje? Kwenu wewe mtoto wa ngapi? Ndugu zako wangapi wana magari?

Sasa jamani yote hayo yanahusu nini?
 
Wengine utasikia ukoo wenu unaitwaje? Kwenu wewe mtoto wa ngapi? Ndugu zako wangapi wana magari?

Sasa jamani yote hayo yanahusu nini?

Hii inatokea nyanda gani? maana nisije ingia pupa wkt mm hata baiskeli similiki
 
Nataka 'kuosha jina' 1st April 2012 kabla jua halijachomoza,
niombeeni kheri ndio mchango wenu kwangu.

Hongera mzazi mi naomba niwe mpambe wako ili na mm nitangaze nia fasta.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

hahahaha
....bahati yao, imagine pangeitwa Italy huh?...kina "Ali Kapone" Wangejaa huko!
Back to Topik...

Nataka 'kuosha jina' 1st April 2012 kabla jua halijachomoza,
niombeeni kheri ndio mchango wenu kwangu.

:lol::lol::lol:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Haya ndiyo matatizo ya kuiga utamaduni mbovu. Lakini cha kushangaza maharusi wengi wanapendelea sana kupitia utamaduni mbaya kama huu ambao hauna tija yoyote kwa maisha yao ya ndoa.
 
Back
Top Bottom