EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wanaenda kut. Ombana kama sisi au tofauti?[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wataachana tu[emoji41][emoji41]
Na wataachana tu[emoji41][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa ndyo panahtaj ufafanuz chief kabla hatujaenda kanisan mkuu fafanuaHii harusi jana imeibua mambooo
Kumbe kuna DC ana tembea na kijana mmoja maarufu ?
Maana niliona jana kuna fundi charahani mshona suti aliongea kwa huzuni ..kisha akatoa 5M ..uteuzi wa huyo Dc ungetenguliwa
Nimesikilia mahojiano baada ya kutoka kanisani mwanamke anasema baada ya kuishi miaka 13 sasa tutazeeka pamoja. Nikashtuka mtu umeishi miaka 13 leo ndio ndoa? Hivi hizi ndoa zina raha gani? Raha ya ndoa ni ile hali siku ya kwanza ndio kweli siku ya kwanza sio mmeshalala huko mnajuwana ndio mnakuja leta ndoa ndio maana hata sura za furaha hawana ni kama wamelazimishwa. Mimi naamini siku ya furaha kwa mtu yoyote ni siku ya ndoa lakini iwe ndoa kweli kwa maana unapewa mke kwa mara ya kwanza lakini hii system siku hizi tunabariki umeishi na mtu na kuzaa sasa hata usia gani wa kupewa nyinyi maana mmeshakubuhu. Hizi kwangu mimi wala sio ndoa ujinga tu.Gharama zote hizo ni kwa ajili ya kubariki ndoa tu ama? Huyo mwanamke si walishaishi wote pamoja hao
Chawa kama chawa mjini mchawi connection.Ila mke wake yupo kawaida hajaweka mambo mengi usoni.
Sasa hii ndio ndoa miaka 13 washapitia mengi wana juana nje ndani.Nimesikilia mahojiano baada ya kutoka kanisani mwanamke anasema baada ya kuishi miaka 13 sasa tutazeeka pamoja. Nikashtuka mtu umeishi miaka 13 leo ndio ndoa? Hivi hizi ndoa zina raha gani? Raha ya ndoa ni ile hali siku ya kwanza ndio kweli siku ya kwanza sio mmeshalala huko mnajuwana ndio mnakuja leta ndoa ndio maana hata sura za furaha hawana ni kama wamelazimishwa. Mimi naamini siku ya furaha kwa mtu yoyote ni siku ya ndoa lakini iwe ndoa kweli kwa maana unapewa mke kwa mara ya kwanza lakini hii system siku hizi tunabariki umeishi na mtu na kuzaa sasa hata usia gani wa kupewa nyinyi maana mmeshakubuhu. Hizi kwangu mimi wala sio ndoa ujinga tu.
Hakuna dini inayoruhusu zinaa hakuna, kukaa miaka 13 unabariki zinaa halafu unakuja unabariki ndoa haileti maana yoyote. Dini zote na maanisha dini zote mtu alete kifungu kimoja kinayoruhusu haya unayosema yanawafurahisha mapadri? Mungu na vitabu vya dini vimeongelea wazi hili vitabu vyote wapi haya yameruhusiwa? Hii point tumeshajuana ndio ndoa haina mashiko ziko ndoa nyingi zimekufa baada ya kubariki na ziko ndoa zile unamjuwa siku ya kwanza kuishi naye pia zimekufa lakini ndoa nyingi pia zimefuzu. Turudi kwenye maana halisi ya ndoa kwa mujibu wa imani zetu na tamaduni zetu. kwangu mimi hizi sio ndoa ni kama birthday tuSasa hii ndio ndoa miaka 13 washapitia mengi wana juana nje ndani.
Na kanisa ndoa kama hizi mapadri wana zitaka sana mimi kwenye barokia yangu baba paroko alizitafuta couple 200 ambazo zilikuwa zinaishi bila ndoa, akawa shauri wakafunga ndoa na zilikuwa Simple.
Hamna dini inayo halalisha zinaa, ila kila mtu ana nafasi ya pili mbele ya moyo wa Mungu na ndio maana viongozi wengi wa kiislam na kikristo wana sisitiza watu wanaoishi pamoja wa halalishe mahusiano yao kwa kufunga ndoa. Kwako sio ndoa au haina maana sababu una moyo wa kibinadamu,ila Mungu aliye waumba kwake ni ndoa halali sababu kondoo wake walipotea now wamerudi kwake kupitia ndoa.Hakuna dini inayoruhusu zinaa hakuna, kukaa miaka 13 unabariki zinaa halafu unakuja unabariki ndoa haileti maana yoyote. Dini zote na maanisha dini zote mtu alete kifungu kimoja kinayoruhusu haya unayosema yanawafurahisha mapadri? Mungu na vitabu vya dini vimeongelea wazi hili vitabu vyote wapi haya yameruhusiwa? Hii point tumeshajuana ndio ndoa haina mashiko ziko ndoa nyingi zimekufa baada ya kubariki na ziko ndoa zile unamjuwa siku ya kwanza kuishi naye pia zimekufa lakini ndoa nyingi pia zimefuzu. Turudi kwenye maana halisi ya ndoa kwa mujibu wa imani zetu na tamaduni zetu. kwangu mimi hizi sio ndoa ni kama birthday tu
Na ukuwadi nayo ni kazi yake kupitia hiyo salonAna saloon ya kike , celebs wengi wa kike bongo yeye ndo anapamba
Sio kwamba kuna dini inafurahia,haya mambo yanakemewa kila siku makanisani,lakini wanachohamasisha wao ni kwa wale wameshaanza kuishi pamoja wasiendelee kuzini,wakabariki hizo ndoa zao ili ziwe halali!!!Hakuna dini inayoruhusu zinaa hakuna, kukaa miaka 13 unabariki zinaa halafu unakuja unabariki ndoa haileti maana yoyote. Dini zote na maanisha dini zote mtu alete kifungu kimoja kinayoruhusu haya unayosema yanawafurahisha mapadri? Mungu na vitabu vya dini vimeongelea wazi hili vitabu vyote wapi haya yameruhusiwa? Hii point tumeshajuana ndio ndoa haina mashiko ziko ndoa nyingi zimekufa baada ya kubariki na ziko ndoa zile unamjuwa siku ya kwanza kuishi naye pia zimekufa lakini ndoa nyingi pia zimefuzu. Turudi kwenye maana halisi ya ndoa kwa mujibu wa imani zetu na tamaduni zetu. kwangu mimi hizi sio ndoa ni kama birthday tu
atapotea mtu mmoja hawawezi kupotea wote, kupotea mtu kutokujuwa halafu akajuwa. sisi tumefanya ni sehemu ya maisha yetu. Swali la msingi je hii imekaa sawa? utapotea mwaka mtu miaka 13 unakuja kusema nilipotea wakati hiyo miaka 13 labda kila jumapili unafanya ibada au Ijumaa. Watu mpaka mnazeeka na watoto wanakuja kucheza harusi halafu unakuja unasema kondoo kapotea. Mimi kweli binadamu sasa nitajie hilo neno la Mungu alilohalalisha haya ya zinaa na ndoa kufuata.Hamna dini inayo halalisha zinaa, ila kila mtu ana options ya pili mbele ya moyo wa Mungu na ndio maana viongozi wengi wa kiislam na kikristo wana sisitiza watu wanaoishi pamoja wa halalishe mahusiano yao kwa kufunga ndoa. Kwako sio ndoa au haina maana sababu una moyo wa kibinadamu,ila Mungu aliye waumba kwake ni ndoa halali sababu kondoo wake walipotea now wamerudi kwake kupitia ndoa.
Hizo ndoa labda ulizo ziona ww, ila ķwangu ndoa za type hizi nyingi zimetoboa miaka mingi.Najua Mungu kakataza zinaa, ila kama kiongozi wa dini umewakuta waumini wako washaishi pamoja na washazaa,utawafanya nini au utaendelea kuwalaani au kuwaambia wa badilike na kuhalalisha mahusiano yao kupitia ndoa.
Halafu ni kwambie kitu kazi ya viongozi wa dini moja wapo ni kuwatafuta walio potea na kuwarudisha kwenye njia atakayo Mungu.
Vizuri wakakemea zaidi na wazazi wana sehemu ya lawama katika hili na jamii tunalawama katika hili hili jambo sio sawa unaweza ukakosa mwaka mtu kaishi miaka 13, kazaa, na birthday kibao na baraka za wazee humohumo na family zingine watu wa dini kabisa kwanini wasubiri kanisani waseme wasikae na watoto zao hili mnalofanya sio sawa kama mnapendana na mmeamua kuzaa kabisa fungeni ndoa. ogopeni Mungu katika hili sio sawa kabisa.Sio kwamba kuna dini inafurahia,haya mambo yanakemewa kila siku makanisani,lakini wanachohamasisha wao ni kwa wale wameshaanza kuishi pamoja wasiendelee kuzini,wakabariki hizo ndoa zao ili ziwe halali!!!
Mungu hajawahi kuhalaisha zinaa, ila ukiwa mzinifu ukaacha dhambi ya zinaa basi una nafasi ya msamaha mbele ya Mungu.atapotea mtu mmoja hawawezi kupotea wote, kupotea mtu kutokujuwa halafu akajuwa. sisi tumefanya ni sehemu ya maisha yetu. Swali la msingi je hii imekaa sawa? utapotea mwaka mtu miaka 13 unakuja kusema nilipotea wakati hiyo miaka 13 labda kila jumapili unafanya ibada au Ijumaa. Watu mpaka mnazeeka na watoto wanakuja kucheza harusi halafu unakuja unasema kondoo kapotea. Mimi kweli binadamu sasa nitajie hilo neno la Mungu alilohalalisha haya ya zinaa na ndoa kufuata.
Mhh hapana kwakeli sio kwa budget hio na mwonekano huu....
Afu huyu dada mzuri tu siku za kawaida, sijui kapambwa na nani
DC si ni bibi harusi mtarajiwa wa tajiri kijana mjini.Hii harusi jana imeibua mambooo
Kumbe kuna DC ana tembea na kijana mmoja maarufu ?
Maana niliona jana kuna fundi charahani mshona suti aliongea kwa huzuni ..kisha akatoa 5M ..uteuzi wa huyo Dc ungetenguliwa