Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Assume wewe kiongozi wa dini na ukagundua baadhi ya waumini wako wanaishi bila ya kufunga ndoa, je kama wewe kiongozi wa dini utafanya nini?
Kwanza ondoa neno baadhi ni wote sema maana imekuwa fashion. Ukiona hivyo ujuwe kama kiongozi wa dini kazi imekushinda maana unalofundisha wanafunzi wame fail
 
Hawa ndio wake sasa, Aristote nampa heko baada ya kukamlisha utaratibu wa probation kama ilivyoada.

Hio ndoa lazma idumu maana ameoa mke haswa sio hawa wapuuzi ma slay queens! Mwanamke anaeweza kumvumilia aristote toka kapuku hadi kuwa Chawa President mwenye biashara kubwa mjini ni jambo la kushukuru.
 
Kwanza ondoa neno baadhi ni wote sema maana imekuwa fashion. Ukiona hivyo ujuwe kama kiongozi wa dini kazi imekushinda maana unalofundisha wanafunzi wame fail
Hujani jibu swali langu nime kuuliza assume ww ni kiongozi umepewa jamii ya watu wenye imani fulani uwaongoze, ktk jamii hiyo baadhi yao wanaishi bila ya ndoa, je wewe kama kiongozi wa utafanya nini?

NB
Nimetumia neno baadhi sababu kwenye jamii hamuwezi kufanana.
 
Nitafanya kama Kenya tu vimada hakuna kurithi basi watashika adabu
 
Gharama zote hizo ni kwa ajili ya kubariki ndoa tu ama? Huyo mwanamke si walishaishi wote pamoja hao
Achana na hiyo mambo ya kuwa walishaishi tatizo je gharama zilizoorodheshwa hapo Aristote amezinyea wap au ndio saloon tuu
 
Nimesikilia mahojiano baada ya kutoka kanisani mwanamke anasema baada ya kuishi miaka 13 sasa tutazeeka pamoja. Nikashtuka mtu umeishi miaka 13 leo ndio ndoa? Hivi hizi ndoa zina raha gani? Raha ya ndoa ni ile hali siku ya kwanza ndio kweli siku ya kwanza sio mmeshalala huko mnajuwana ndio mnakuja leta ndoa ndio maana hata sura za furaha hawana ni kama wamelazimishwa. Mimi naamini siku ya furaha kwa mtu yoyote ni siku ya ndoa lakini iwe ndoa kweli kwa maana unapewa mke kwa mara ya kwanza lakini hii system siku hizi tunabariki umeishi na mtu na kuzaa sasa hata usia gani wa kupewa nyinyi maana mmeshakubuhu. Hizi kwangu mimi wala sio ndoa ujinga tu.
Hahahahahahah ni aibu kumuoa hawara wako wa miaka 13 kwa mbwembwe za namna hio 😅
 
Vizuri wakakemea zaidi na wazazi wana sehemu ya lawama katika hili na jamii tunalawama katika hili hili jambo sio sawa unaweza ukakosa mwaka mtu kaishi miaka 13, kazaa, na birthday kibao na baraka za wazee humohumo na family zingine watu wa dini kabisa kwanini wasubiri kanisani waseme wasikae na watoto zao hili mnalofanya sio sawa kama mnapendana na mmeamua kuzaa kabisa fungeni ndoa. ogopeni Mungu katika hili sio sawa kabisa.
Yani 13 yrs aristote alikosa laki 8 ya mahari na laki ya kumlipa padri kanisani awafungishe ndoa?
 
Nimesikilia mahojiano baada ya kutoka kanisani mwanamke anasema baada ya kuishi miaka 13 sasa tutazeeka pamoja. Nikashtuka mtu umeishi miaka 13 leo ndio ndoa? Hivi hizi ndoa zina raha gani? Raha ya ndoa ni ile hali siku ya kwanza ndio kweli siku ya kwanza sio mmeshalala huko mnajuwana ndio mnakuja leta ndoa ndio maana hata sura za furaha hawana ni kama wamelazimishwa. Mimi naamini siku ya furaha kwa mtu yoyote ni siku ya ndoa lakini iwe ndoa kweli kwa maana unapewa mke kwa mara ya kwanza lakini hii system siku hizi tunabariki umeishi na mtu na kuzaa sasa hata usia gani wa kupewa nyinyi maana mmeshakubuhu. Hizi kwangu mimi wala sio ndoa ujinga tu.
Siku hizi hiyo ni fursa ya kukusanya pesa.
 
Kijana mwenyewe ni yule aliepewa cheo cha mweka hazina wa chama ?
 
Back
Top Bottom