Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Mungu hajawahi kuhalaisha zinaa, ila ukiwa mzinifu ukaacha dhambi ya zinaa basi una nafasi ya msamaha mbele ya Mungu.

Neno la Mungu linasema binadam si mkamilifu ni mtu wa kukosea kila, Mungu. Wenyewe anasema samehe saba mara sabini ,bila shaka yy husamehe bila kuchoka na atakupokea haijalishi umekosea mara ngapi na kwa miaka mingapi, kwani furaha yake siku zote kukuona umekiri dhambi zako na umeji rekebisha,hao wamekiri dhambi zao na wamejirekebisha kupitia ndoa takatifu.
Ndugu yangu nadhani ume miss point hapa, Mimi siongelei mambo yaliyo nje ya mamlaka yangu ya kusamehe maana hata mimi kila siku naomba msamaha kwa Mungu. Nachotaka kuongelea hapa hii sisi tumeibariki na tumekubali kama ndio mfumo wetu wa maisha maana dhambi ziko nyingi kuna yale unafanya kwa ujinga kutokujuwa au uelewa wako mdogo katika kitu ukaja kujuwa hapa nimekosa ngoja niweke mambo sawa na mwisho wa siku ni Mungu anasamehe ila huwezi kufanya dhambi ukijuwa unafanya dhambi sio siku moja, wala mwezi, wala mwaka ila miaka halafu unakasema nitakuja kuomba msamaha. Najuwa kuuwa mtu dhambi kubwa halafu nikauwa mtu makusudi tu nikasema namuuwa huyu kesho nitaomba msamaha lakini unaweza kuuwa mtu bila kukusudia japo yote mauwaji ila mmoja kajuwa anafanya nini mwingine hakutaka iwe hivyo sasa huwezi kuaniambia hawa wote kwa Mungu dhambi zao ni moja. unakaa na mwanamke au mwanamme miaka kibao na kila wiki uko kwenye ibada uniambie hujui unafanya nini?
 
Hakuna dini inayoruhusu zinaa hakuna, kukaa miaka 13 unabariki zinaa halafu unakuja unabariki ndoa haileti maana yoyote. Dini zote na maanisha dini zote mtu alete kifungu kimoja kinayoruhusu haya unayosema yanawafurahisha mapadri? Mungu na vitabu vya dini vimeongelea wazi hili vitabu vyote wapi haya yameruhusiwa? Hii point tumeshajuana ndio ndoa haina mashiko ziko ndoa nyingi zimekufa baada ya kubariki na ziko ndoa zile unamjuwa siku ya kwanza kuishi naye pia zimekufa lakini ndoa nyingi pia zimefuzu. Turudi kwenye maana halisi ya ndoa kwa mujibu wa imani zetu na tamaduni zetu. kwangu mimi hizi sio ndoa ni kama birthday tu
Ndoa ni nini?
 
Assume wewe kiongozi wa dini na ukagundua baadhi ya waumini wako wanaishi bila ya kufunga ndoa, je kama wewe kiongozi wa dini utafanya nini?

Kuhusu kusema kwamba huu ushakuwa utamadamu, ndio ushakua utafanyaje ila ww kama sehemu ya jamii, ukikutana na watu kama hawa unawambiaga nini?

Halafu kumbuka sisi ni binadamu hatuwezi kuwa sawa kimatendo, kuna wengine wanahitaji sana kuhubiriwa neno la Mungu mda mrefu ndipo wa badilike.
 
Hebu toa upupu hapa. Hamna kitu unachoandika chenye maana. Wewe ndio Mungu? Goma kuwasamehe sasa!
 
Ndoa ni nini?
Ndoa ni pale anakuja mtu kuomba kwa wazee mimi nataka kumuowa mtoto wenu, ukikubaliwa inafungwa ndoa katika njia nyingi za kihalali unakabidhiwa mwanamke kwa heshima zote na furaha na baraka za mwenyezi Mungu kuhalalisha tendo la ndoa kuwa ni halali yenu na ndio maana na sherehe inafanywa na mnanakuwa kitu kimoja mbele ya Mungu na watu kwa ujumla, lakini zinaa utajificha kuonekana katika macho ya watu kitendo kilekile lakini unajificha kama mwizi.
 
Kwahiyo ndoa ni nini?
 
Tueleweshe.
Ndoa ni kuhalalisha lililoharamishwa kwenu kuwa halali kwa baraka za wazazi pande mbili na Mungu anabariki ili muwe kitu kimoja katika maisha na kujenga family yenu katika misingi inayokubalika.
 
Hakuna dini inayoruhusu zinaa hakuna, kukaa miaka 13 unabariki zinaa halafu unakuja unabariki ndoa haileti maana yoyote. Dini zote na maanisha dini zote mtu alete kifungu kimoja kinayoruhusu haya unayosema yanawafurahisha mapadri? Mungu na vitabu vya dini vimeongelea wazi hili vitabu vyote wapi haya yameruhusiwa? Hii point tumeshajuana ndio ndoa haina mashiko ziko ndoa nyingi zimekufa baada ya kubariki na ziko ndoa zile unamjuwa siku ya kwanza kuishi naye pia zimekufa lakini ndoa nyingi pia zimefuzu. Turudi kwenye maana halisi ya ndoa kwa mujibu wa imani zetu na tamaduni zetu. kwangu mimi hizi sio ndoa ni kama birthday tu
w sikia nkuambie ,IKIWA WATU WAWILI WAKIKUTANA NA KUKUBALIANA PANDE MBILI NA KUPATA BARAKA ZA WAZAZI HIYO NI NDOA KAMILI....haya mamb ya masherehe sijui mchungaji kufungisha yamekuja siku hizi .....ANGALIA NDOA ZA YEARS BEFORE CHRIST...kina AYUBU ,MUSA ,

Je walikuwa wanafungishwa au makubaliano .....??

waache watu waoane kwa makubaliano hyo kubariki n fashion

NDO MANA SERIKALI INATAMBUA DINI ZA KIMILA ..NA ZINA KIBALI MBELE ZA MUNGU

usijikute unajua sana kuichambua biblia wakati una dhambi kibao za nyeto
 
Ndoa ni kuhalalisha lililoharamishwa kwenu kuwa halali kwa baraka za wazazi pande mbili na Mungu anabariki ili muwe kitu kimoja katika maisha na kujenga family yenu katika misingi inayokubalika.
Ninakushauri ujibidiishe kujua maana ya "ndoa" kabla ya kuja kujaza servers za JF.
 
Assume wewe kiongozi wa dini na ukagundua baadhi ya waumini wako wanaishi bila ya kufunga ndoa, je kama wewe kiongozi wa dini utafanya nini?

Kuhusu kusema kwamba huu ushakuwa utamadamu, ndio ushakua utafanyaje ila ww kama sehemu ya jamii, ukikutana na watu kama hawa unawambiaga nini?

Halafu kumbuka sisi ni binadamu hatuwezi kuwa sawa kimatendo, kuna wengine wanahitaji sana kuhubiriwa neno la Mungu mda mrefu ndipo wa badilike.
Sasa naongea kama mimi maana ndio swali lako, mtoto wangu wa kike atatoka nyumbani kwangu akiwa ameolewa tu sio vingine. Kama kuna mengine anayafanya basi hatafanya mbele yangu na hilo siwezi kuzuia. ila siku akiamuwa kutoka kwenda kuishi na mwanamme na kuzaa bila ndoa basi aendelee tu huko kama yeye, na hilo hata kwa mtoto wangu wa kiume siwezi kumruhusu akamfanyie mtoto wa watu na akifanya huko atabeba gunia lake ila siwezi kuwa sehemu ya ujinga huo.
 
w sikia nkuambie ,IKIWA WATU WAWILI WAKIKUTANA NA KUKUBALIANA PANDE MBILI NA KUPATA BARAKA ZA WAZAZI HIYO NI NDOA KAMILI....haya mamb ya masherehe sijui mchungaji kufungisha yamekuja siku hizi .....ANGALIA NDOA ZA YEARS BEFORE CHRIST...kina AYUBU ,MUSA ,

Je walikuwa wanafungishwa au makubaliano .....??

waache watu waoane kwa makubaliano hyo kubariki n fashion

NDO MANA SERIKALI INATAMBUA DINI ZA KIMILA ..NA ZINA KIBALI MBELE ZA MUNGU

usijikute unajua sana kuichambua biblia wakati una dhambi kibao za nyeto
Aliyesema ndoa sio makubaliano ni nani hapa? ndoa ni mkataba wa watu wawili lakini huwezi kwenda kuposa bila kuwaomba wazazi. wazazi wa mwanamme wanakwenda kuomba wazazi wa mwanamke. Kwanza mimi sio mkristo huku kwetu ndio kabisa ndoa lazima iwe na baraka zote haijalishi kama huna dini bado ziko tamaduni lakini ni lazima zibarikiwe na wazazi. Hakuna mtu asiyekuwa na dhambi na wapi nimesema mimi malaika? acha kutumia lugha za kihuni haya nyeto imeandikwa wapi kuwa ni dhambi? jinga kubwa
 
Back
Top Bottom