KERO Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mimi Nina bima na sijawahi kuteseka kabisa! Hao wanaoteseka sijui wanateseka vipi!
Bima gani. maana bima mimi nilikuwa na bima 2013-2021 nikaachana nayo, maana ukifika Hospitali ukiwa na bima tu huduma yake inakuwatofauti wanaona kama unatibwa Bure. Utaandikiwa dawa ukanunue nje. utasumbuliwa n.k Mimi Bima sitaki hata Kuisikia
 
Compared to states.....seriously?
 
Hapo ni red flag kwamba we just need to have only one trip there na Kama hatuna pesa tuachane na mambo ya kuleta Viumbe wengine duniani
 
Hivi hospital gani nzuri kwa dar private unaweza ukapeleka mjamzito akajifungulia huko?
 
Hivi mkuu kwa nchi hii masikini gharama ikiwa bure ,unazani nani atailipia?

Tatizo tunawaamini sana wanasiasa.
 
Hivi mkuu kwa nchi hii masikini gharama ikiwa bure ,unazani nani atailipia?

Tatizo tunawaamini sana wanasiasa.
si kuna misaada inatolewa Huko nje kwa ajili ya kusaidia au kulipia hizo Huduma. au zinaliwa wanwadanganya wahisani?
 
Ulisikia wapi raisi wa serikali ya awamu ya 6 akisema serikali yake ni ya wanyonge?? Hii sio serikali ya kukujali ww mnyonge..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…