KERO Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hiyo gharama n kubwa almost ume spend 1.5M nazin within 3/5 yamatibabu tuu , huyu mtanzania wakaida analipwa Tshs 150,000 hadi 400000 per months itakuwaje ku afford million per once
 
Ila wew kweli una shida sehemu, hasa kwenye ubongo, waweza kuta una undugu na Bashite
 
Nadhani hapo ndipo wengi walipaswa kuhoji, alienda kama mgonjwa wa private au public?.

Maana kama ni public, mbona watu wanatibiwa na hizo bima tu?, kama kuna dawa iko nje ya mpango wa bima utaambiwa, utapewa control number na utalipia au uandikiwa kisha ukanunue nje.
 
ENdeleeni kushabikia CCM tu, endeeleni
 
Dah, hatari sana
Na hiyo ndiyo kazi wanayofanya ma CHAWA kudanganya wadau humu daily kuwa wanyonge wamefiikiwa, na blah blah nyingi...
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
inatafakarisha sana,
watu wengi wanaweka kipaumbele kwenye maisha yao ni kumiliki iphone au simu nyingine ya gharama, huku afya wakiona si jambo muhimu kabisa 🤣

ankiugua sasa,
anakwenda hospital anasmarphone 3 mkononi, akiambiwa lipia elfu3 hapa halafu nenda maambara, utaskia ngoja kwanza nikatoe pesa, na ndiyo anatokomea kusikojulikana. Atarudi tena maradhi yatakapokua yamemuathiri zaidi.

Tuipe afya uzito na umuhimu unao stahili nadhani kuliko kitu kingine chochote. Kula bata mpaka asubuh sio gharama, ila afya ndiyo gharama.🤣

hili si tatizo la Afya ya akili sasa?🐒
 
Mh? Mbona wanawawe choka mbaya mitaani kutoka familia tiamajitiamaji naona wanajifungulia hospitali za serikali? Wanawezaje kumudu hizo gharama au kuna jinsi nyingine?

Elewa muktadha mzee. Mtoa mada kasema hospitali ya Mlonganzila kama inavyojieleza katika kichwa cha habari. Na kumbuka kuwa mkewe alipewa rufaa labda kwa sababu ya complications flani au uwezo mdogo wa kituo walichokuwa wanahudumiwa awali.
So yes watu wanajifungulia katika vituo vingine kwa gharama rafiki lakini sio kwa kesi ya Mloganzila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…