KERO Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Lakini mbona watu wengi waendao hawarudi alive?
Wanaosepa ni wale waliopelekwa wakiwa final stage,Mloganzila Wana huduma nzuri mno jamani yaani hata hiyo bill unayopewa kweli ni kubwa lakini inaendana na huduma uliyopatiwa!
 
Ndo iwe hela yote hiyo?sio sawa kwakweli
Hapo kajifungua kawaida,ukijipeleka bila rufaa au bima, kujifungua Kwa operation yaani kile kitendo cha kuingizwa theatre na kutolewa mil.na point inaondoka! Hapo bado mazaga mengine!!! Ila huduma zao ni next level!!safi Sana!
 
Kwa Ubora tuwape MAUA yao.
 
Watu wanaongelea sana kuhusu bima...... ni kweli ni nzuri
Lakini hivi sasa bima wameanza kuondoa matibabu mengi sana kwenye bima kwasababu ya gharama za matibabu kuwa juu sana na kufanya hela zinazo lipwa ni nyingi kuliko zinazo changwa sababu ya matibabu kuwa juu
 
Bado bima ni muhimu Sana,inakupunguzia bill kwa kiasi kikubwa!
Kumbuka ugonjwa haungalii hali yako ya kiuchumi!
 
ni muhimu ila watu walio na bima wanateseka sana. Utaambiwa karibu dawa zote kanunue nje unaanza kuhangaika afadhali hataambao hawana bima wanakujazia tu huko unakuja kulipia kwenye Bill
 
Lakini kwenye bill ndo unalialia kama wewe

Kiukweli bima inasaidia sana,nakumbuka wife alijifungua TMJ kwa operesheni bila bima ingepaswa nilipe 2ml miaka ya 2014,kwahiyo bima inasaidia sana
 
Back
Top Bottom