Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Wewe ni mjinga wa kutupwa
 
Unaelewa nini kuhusu dini wewe? Wewe babu yako kuwa Mufti na Sheikh ndio wewe ujue dini kuliko Akhi hapo. Mtu anayejua dini hawezi kuongea ujinga kama huo. Eti babu alikuwa Mufti, kwahiyo nawe Mufti sio? Elimu haina Mwenyewe, Elimu ina watu wake na Watu wake ni wale walioichukua. Usipoichukua utakuwa Mjinga hata kama babu yako alikuwa Mwanachuoni. Ndio maana ukakuta kuna Waafrika weusi kutoka huku Afrika wapo Saudi Arabia wanawafundisha Waarabu lugha ya Kiarabu na hata dini ya Uislam. Hiyo ni Ajabu ya Elimu.

Halafu acheni ujinga, mfanyieni wema Baba yenu.
 
Vijana acheni kuombea wazee wenu wafe ili mgawane urithi
 
Unafkiri wewe ndo wa kwanza kumuuguza mzazi? Huna pointi hapa umeandika ujinga mtupu na unaonekana una roho mbaya sana. Kama unaona kumgharamikia mzee wako ni kufilisika, muache watamhudumia wanaomjali na hata kama wote msipomuhudumia Mungu ndo anaamua hatma yake sio pesa zenu mnazotoa kishingo upande.
 
Haaaahaaaha wee jamaa nyuzi zako tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Japo kuuguza ni changamoto [emoji848]
 
[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
 
Duh hakuna Jambo lolote liwalo laweza kuharalisha kutoa uhai wa binadamu mwenzako, mbaya zaidi mzazi wako,

Mama yangu toka 2013 Ni mgonjwa, Ni wakulisha na kuogesha, maana anajinyea , hivyo Ni wajibu sisi watoto kumswafi, na uzuri zaidi sijawahi sikia hata mtoto mmoja akiwaza kumtoa uhai ili apumzike.

Hayo ni malipo yetu kwa wazazi wetu tungali watoto walikuwa wanatukopesha , Sasa Ni wajibu wetu kulipa,
 
angeyasikia haya maneno nina hakika angekufa leo leo...

huna ustaarabu hata kdg

usisahau na wewe ni mzee mtarajiwa
Ulishawahi kuuguza au unaongea ongea tu ndugu kama mtu ana miaka 90 kuendelea ni bora afe maana muda wake umekwisha sasa...

Jamaa yupo Sawa na kama ingewezekana wangefanya kama Russia walichofanya jana kwa mwenzao aliekuwa anaugulia maumivu vitani Ukraine.
 
haya maisha ni fumbo kubwa unaweza kufa ukamuacha huyo mzee wako na uhai wake huo huo unaoona ni tia maji
Nikikumbuka nyakati fulani za kampeni kuna mgombea alipiga pushup 10 at once kudhihirisha utimamu wa afya yake jambo ambalo mpinzani wake Mkuu alikuwa hawezi piga hata pushup moja.
Lakini wakat uka mprove wrong😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…