maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Roho hio sure ninayoduuh hivi mkuu unamuita mama ako maiti tarajiwa??? kuna watu mna rohoo ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho hio sure ninayoduuh hivi mkuu unamuita mama ako maiti tarajiwa??? kuna watu mna rohoo ngumu
Swali zuri sanaaaVipi kuhusu kumkatia bima ya afya?
Wewe ni mjinga wa kutupwamkuu.. wewe huujui uislamu kuliko mimi . ungenyamaza tu ili usije leta mjadala wa kidini hapa. mimi toka babu yangu alikuwa sheikh,mufti na alhaj... wewe maamuma tu unataka jifanya unaifahamu dini na mistari ya kukariri kuliko watu wenye uelewa wa dini? acha huo upuuzi hapa tunaongea kisomi siyo kimaamuma.
Unaelewa nini kuhusu dini wewe? Wewe babu yako kuwa Mufti na Sheikh ndio wewe ujue dini kuliko Akhi hapo. Mtu anayejua dini hawezi kuongea ujinga kama huo. Eti babu alikuwa Mufti, kwahiyo nawe Mufti sio? Elimu haina Mwenyewe, Elimu ina watu wake na Watu wake ni wale walioichukua. Usipoichukua utakuwa Mjinga hata kama babu yako alikuwa Mwanachuoni. Ndio maana ukakuta kuna Waafrika weusi kutoka huku Afrika wapo Saudi Arabia wanawafundisha Waarabu lugha ya Kiarabu na hata dini ya Uislam. Hiyo ni Ajabu ya Elimu.mkuu.. wewe huujui uislamu kuliko mimi . ungenyamaza tu ili usije leta mjadala wa kidini hapa. mimi toka babu yangu alikuwa sheikh,mufti na alhaj... wewe maamuma tu unataka jifanya unaifahamu dini na mistari ya kukariri kuliko watu wenye uelewa wa dini? acha huo upuuzi hapa tunaongea kisomi siyo kimaamuma.
Hata mimi nimeliona hilo.ww ni mjinga wa kutupwa
Huyu mtoa mada ni mjinga flani hiviNeno la Muumba wetu ni amri hivyo ni amri kuwalea wazazi wawili kwa heshima na kuwajali
Mtoto wa Nabii Nuhu ataingia motoni ije kuwa yeye chizi maarifaHata mimi nimeliona hilo.
Unamuita mama maiti tarajiwa?Huo msala ulimkutaga brother kipindi anamuuguza maza mi nlikua skonga bado
Nilikua namuonea huruma anahudumia maiti tarajiwa
Vijana acheni kuombea wazee wenu wafe ili mgawane urithimimi mpaka hapo sijaona ustaarabu wako pia. mimi nimeongea uhalisia ulivyo. kila mtu ni mzee na marehemu mtarajiwa. so hi haitoi kibali cha mtu kuwa mnafiki na mpuuzi. kuna haja gani kutumia chakula cha wazima kumpa mtu ambaye hatoweza kuwa mzima? wafe wote? miaka 90 plus unadhani ni michache? na hali yake si nzuri. unadhani kuna mtu ataishi milele?
Unafkiri wewe ndo wa kwanza kumuuguza mzazi? Huna pointi hapa umeandika ujinga mtupu na unaonekana una roho mbaya sana. Kama unaona kumgharamikia mzee wako ni kufilisika, muache watamhudumia wanaomjali na hata kama wote msipomuhudumia Mungu ndo anaamua hatma yake sio pesa zenu mnazotoa kishingo upande.Kuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.
Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?
Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.
Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
Haaaahaaaha wee jamaa nyuzi zako tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.
Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?
Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.
Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
[emoji26][emoji26]Huo msala ulimkutaga brother kipindi anamuuguza maza mi nlikuwa skonga bado
Nilikuwa namuonea huruma anahudumia maiti tarajiwa
[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]mimi mpaka hapo sijaona ustaarabu wako pia. mimi nimeongea uhalisia ulivyo. kila mtu ni mzee na marehemu mtarajiwa. so hi haitoi kibali cha mtu kuwa mnafiki na mpuuzi. kuna haja gani kutumia chakula cha wazima kumpa mtu ambaye hatoweza kuwa mzima? wafe wote? miaka 90 plus unadhani ni michache? na hali yake si nzuri. unadhani kuna mtu ataishi milele?
Duh hakuna Jambo lolote liwalo laweza kuharalisha kutoa uhai wa binadamu mwenzako, mbaya zaidi mzazi wako,Wew yasikie tu hawa wanaosem vumilia hawajui eti wanakupa mistari ya Qoran hyo ni theory ukija kweny uhalisia utajua hujui. Sisi kwetu wazee walifikia hatua wakataka wamuwekee baba yao sumu afe lkn ikashindn coz kila mtu alipata ugumu wa kummywesha hyo sumu, mzee akafa kwa wakati wake na watu wakapata ahueni
Ulishawahi kuuguza au unaongea ongea tu ndugu kama mtu ana miaka 90 kuendelea ni bora afe maana muda wake umekwisha sasa...angeyasikia haya maneno nina hakika angekufa leo leo...
huna ustaarabu hata kdg
usisahau na wewe ni mzee mtarajiwa
Nikikumbuka nyakati fulani za kampeni kuna mgombea alipiga pushup 10 at once kudhihirisha utimamu wa afya yake jambo ambalo mpinzani wake Mkuu alikuwa hawezi piga hata pushup moja.haya maisha ni fumbo kubwa unaweza kufa ukamuacha huyo mzee wako na uhai wake huo huo unaoona ni tia maji