Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

mtoto wa Nabii Nuhu ataingia motoni ije kua yy chizi maarifa
Halafu eti anajitapa ni mjukuu wa Mufti. Mjukuu wa Mufti kasahau au hajui kuwa Abu Lahab, ambaye kabashiriwa moto akiwa hai tena katika Qur'an, alikuwa Baba yake mdogo Mtume ï·º. Baba yake Nabii Ibrahim ('Alayhis Salaam) atakwenda motoni. Ikrima (Radhwiya Allahu 'Anhu) Swahaba Mtukufu huyu baba yake ni Abu Jahl adui mkubwa wa Uislam. Mjukuu wa Mufti kasahau hili. Yeye kuwa Mjukuu wa Sheikh basi kashakuwa Muislam mjuzi na haiwezekani akawa mjinga.

Kumewafaa nini akina Utba bin Rabi'a na akina Abu Jahl kuzaliwa kwao Makkah na wakaishi karibu na al-Ka'aba ilhali walimkataa Mtume ï·º na wakafa wakiwa ni Washirikina?

Allah atuongoze sisi na yeye mleta uzi katika njia iliyonyooka.
 
Umepost JF ili iweje?

Fanya maamuzi magumu (ila kwangu mimi ni mepesi, lakini kwako naona ni magumu).

Miaka 90 inatosha sana. Huyo hata kumbukumbu itakuwa ishapotea kwa hiyo hana cha maana tena cha kufanya duniani. Kwa umri huo itakuwa anaishi kwa madawa. Kwa hiyo cha kufanya ni unaacha tu kumpa hizo dawa. Akifa itaonekana amekufa kwa magonjwa yaliyokuwa yanamsumbua ya uzeeni kwa hiyo hautakuwa na kesi yoyote.
 
Pole mkuu,
 
Mkuu Hapa Muhamedi Aliibia Bibilia

Soma Biblia Takatifu Kitabu Cha Yoshua Mwana Wa Sira Sura ya Tatu Yote.

Chizi Maarifa zingatia Aya ya 12 ya sura hiyo.
 
Mmmmh[emoji848][emoji848]

Una watoto?
 
Shukuru Mungu bado unamwona hata kama yote kwenye hali hiyo. Hakika akiondoka utamkumbuka sana. 3 month unalalamika wengine tuliuguza 5 years anafanyiwa kila kitu
walimpeleka mpaka india sasa sijui hela ya kumkatia bima kubwa wanakosa vipi?? kila siku wanachanga helaa.. au ndo wanadhani atakufa soon 😀 😀 😀 mzee nae kagoma kufa
 
Kila mwenye Ilmu yupo mwenye Ilmu zaidi yake. Kama ni mtito wa Sheikh,Alhaji au Mufti HUSTAHILI KUTAMKA MAMENI HAYO KWA MZAZI WAKO ALIYE KUZAA.
 
Angeyasikia haya maneno nina hakika angekufa leo leo...

Huna ustaarabu hata kdg

Usisahau na wewe ni mzee mtarajiwa
Kibinadamu sio rahisi mkuu, haya mambo unaweza kumlaumu lakini likiwa kwako ndio utaelewa anachoongea.

Hawa ni wazee wetu, tunawapenda sana, tunawahudumia kwa dhati ya mioyo yetu na uwezo wetu, lakini kuna sehemu ubinadamu unachukua nafasi yake, madhaifu yetu yanadhihirika pale unapoona kazi unayoifanya haina faida(mzee haponi na rasilimali zinaisha). Achana na kuuguza, ni kazi kuliko kazi ila tummies nguvu, tusimlaani kwa sababu ndio jukumu lake kwa sasa.
 
Pesa inatafutwa na inakuja Tu. Mtendeeni stahili yenu huyo baba kama alivyojitoa katika maisha yake.
Hongera kwa kuwa na mzazi wa MIAKA 90+ wengine waliondoka mapema tunatamani warudi.
Huyu kijana sijajua imani ya dini yake ila nadhani anahitaji kuisoma dini yake sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…