Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Mkuu huna nondo umtandike ya kichwa tujue moja?
 
Mleta mada acha kujilizaliza wewe.
Unataka usaidiwe kumtibu baba yako?
Tafuta mume akusaidie,mtoto wa kiume unalialia ooh pesa zinaisha ooh tunakuwa masikini kwani wewe ulizaliwa na pesa?
Acha roho mbaya na ya kingese hiyo!!
Pambana na baba yako hadi dakika ya mwisho otherwise mpe sumu afe chap upumzike na kutuliza kijambio.))
 
Sawasawa mkuu...Mzazi hana mbadala.
 
ah huyu nyie msepesheni tuu. miaka 90 anataka kuishi ili iweje wakati afya tia maji?
watu inabidi tukubali kuwa ukishafika 80 uridhike bwana mambo ya kuwaacha mzigo watoto wakati wewe upo six feet under sio poa kabisa. pole sana ndugu hakika huo ni mzigo mkubwa sana.
 
Huo msala ulimkutaga brother kipindi anamuuguza maza mi nlikuwa skonga bado

Nilikuwa namuonea huruma anahudumia maiti tarajiwa
Hii iliwah mkuta baba angu,ila madaktar walikuwa wanampa nguvu kwa kumwambia,hongera bhana kwa kuwa na mama bado, jitahidi afikishe hata miaka mia

Hiyo kauli ndo ilikuwa inampa nguvu ila mwishoni wa siku bibi aligua tukampeleka hospital wakamtibu kama kwa wiki mbili hadi madaktar walichoka walijua sasa haiwezekani wakamwambia mrudishe nyumbani,akarudishwa nyumban lakin waliokuwa wanamuona na maneno wanayoyasema kuwa huyu bado hajapona ikabid baba amrudishe kwenye hospital nyingine

Bibi yetu alifariki kwa kushindwa kula tu lakini kama angekuwa na uwezo wa kula angeishi zaidi
 
Nimewahi kuuguza kwa miaka 13 lakini sijakufuru mkuu.
NI KUTOJUA THAMANI YA MZAZI TU
 
Duuuuh[emoji848]

We una wazazi?
 
Wewe mwenye baraka sizion baraka zako kabisa... au hazijakufikia bado?
Mtoa mada, kwanza pole kwa changamoto ya kuuguza mzazi. Nami nakubali kwamba ni mtihani mgumu, hasa ikichukua muda mrefu na gharama kubwa kama ulivyoeleza.
Ushauri wangu:
1. Usipambane peke yako, shirikisha watu wako wa karibu - Kazini, Kanisani, kwenye jamii n.k . Utapata support (Moral or Financial) itakayokuwezesha kulibeba jambo hili kwa saburi zaidi.
2. Vitabu vya dini vinatuhimiza kila jambo kwa kiasi. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako. Usikope usichomudu kukilipa! Bali kama walivyoshauri baadhi ya wadau hapa, hatuna budi kuwatendea wazazi wetu kwa upendo na upole SANA.

Mwenyezi Mungu akujalie uvumilivu na mbinu nyepesi za kutatua yanayokukabili. Aamin🤲.
 
Duuuuh[emoji848]

We una wazazi?
ndio. ntulikaa chini na kuelezana ukweli wa mambo. kwanza niliwaambia hapao story za kukaa kama lump of pudding sitaki. 4 days out of 7 lazima wafanya mazoezi ya angalau 60 minutes ya kutembea. nashukuru waliona umuhimu wa hilo na wanafanya na wameona matunda ya hayo mazoezi. wamepunguza uzito mwigi na kufurah kuwa hai.

pili tumeelezana kuwa u are above 70 now, ukweli ni kwamba huko mnapo kwenda ni kufupi kuliko mlipo toka. hivyo basi tusiwe na unrealistic expectations pamoja na jitihada za makusudi za kulinda uhai lazima tukukubali kutokuweka kifo mbali sana.

tatu ni kwamba if so ikitokea case ya cancer there are no negotiations hapo tunajiandaa kissaikolojia kuwa mnayeya. tutakachofanya ni kuongea na doctor njia za kupunguza maumivu but that business of sijui enda india south africa halipo.

nne, if it so happens kwamba upo kwenye life support, ikipita one week na bado ngoma ngumu tunavuta plug. haman point yakukuweka hai kwa mashine wakatu u r already dead wood.

tano, utakapo kufa ndipo tutakapo zika. kama wataka kuzikwa kwenu vijijini waambie ndugu zako watagharamikia au kama vipi acha fungu la hela kabisa. no expensive coffin will be bought for u nor will we spend money kujenga kaburi. ur dead there is no need to speed money recklesly. kama upendo tutakuonyesha mkiwa hai not when u dead.

nashukuru wazee ni waelewa na all that is known hadi kwa ndugu so maisha ni mwake kabisa no presha kila kitu kinajulikana if they so pass away.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…