Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Ww ni Sufi mtu wa bid'aa huko uliposoma ndo umepotea zaidi kwenda kusoma kwa Masufi
 
Binadamu unafikia hatua ya kuchoka kumuuguza Baba mzazi? Kweli? Kwangu bora nikose hela mfukoni lakini Baba na Mama yangu wale chakula...Wasipate shida ili hali mtoto wao wa kwanza nipo...akiumwa tu nitagharimika kwa namna yoyote alejee afyani.
 
Ni baba yako huyo, pambana mshua apone kijana.
Kama ni over 90, hawezi kupona akawa 100% healthy. Maana atakapopona hili, lingine laanza hapo hapo. Ataendelea kuishi kwa maumivu na kuongezea ugumu wa maisha kwa wanawe na wajukuu zake. Ya nini yote hayo? Ingekuwa chini ya 90 hapo saewa. Lakini over 90, okay kumwambia daktari wake aandike DNR kwa mgonjwa.
 
Ikija suala la michango unawajibu tu sina kitu mkuu, simple and clear. Ukitoa Ina maanisha unacho cha ziada sababu Kama unayo madeni Bora ufocus kuclear madeni yako.
 
wewe utakuwa unawaza urithi kama ndugu yangu flani
Wazo langu msi complicate maisha mnampeleka India sababu ya matatizo ya uzee.
Uzee hauna dawa endeleeni kumuuguza hapa hapa Tanzania nina baba zangu walipelekwa India na watoto wao shauri ya kiburi ya pesa lakini wote wamefariki.
Kama baba yako gharama alizotumia kukuza wewe ungeweza zirudisha ungefanya hivyo fasta
Geuza kibao assume ni wewe wanao wanatamani ufe
shame on you
 
Kijiji gani mkuu?[emoji23][emoji23]
 
Ni WAJIBU wa wazazi kuhudumia watoto waliowaleta duniani, ni HISANI watoto kuwahudumia wazazi wao.
 
Sasa muwe mnampa dawa za maumivu tu.Yaani Palliative huduma tu. Ili amalize safari yake kwa amani. Curative haina maana kwa mzee kama huyo.
 
Kwanza naweza sema ndugu yangu huna chako kwenye fadhila juu ya mzazi wako yooote uliyofanya umefuta na hizi kauli zako!!

Yaani watoto hamna shukurani kabisa juu ya wazazi wenu.. si unaongea, unasema ulikuwa na magari na pesa ungefukaje hapo bila yy!

Kama amefikia mazingira hayo ni vyema mrudishe nyumbani muwe mnamuhudumia nyumbn kama utampata mhudum akawa anakuja nyumbn itakuwa vyema saana. Pia kama anakula muwe mnajaribu kumtafutia chakula anachokipenda zaidiiii,

Yaan nakushangaa saana, maana nawaona wazazi wanavoangaika na watoto wao jua lao mvua yao alafu leo we mtoto unasema bora mzee wako afe?? Shubaaamitiii kshishitiiii khissskavkNsvsb yaani weee?!!!!
 
Mercy killing inahitajika hapo

Parapanda ilie tu
 
Hii dunia inawatu makatili sana ....da you so mzee wako.lakin ukumbuke sisi ni binadamu pengine tutafikia kia kwenye hatua hiyo....tafakar na wee watoto wakutende hivyo.....?anyways
 
Hatukatai kuuguza ni kazi kweli kweli ila si kama anavyokuja kumtangazia hapa kwa maneno ya kejeli mzazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…