Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

kwani kumkatia bima ilishindikana nini????
Unamaanisha 'diplomatic health insurance' kama za wabunge zinazo-cover hadi nje ya nchi ama?

Wewe unadhani ukishakua na bima baaasi Ugonjwa wowote unatibiwa hospital yoyote bure?

Mbona unakua taahira hivi?

Ni percentage ngapi ya watanzania wanaweza ku-afford bima ya aina hiyo.
 
kwa hiyo muhimbili ukiwa na bima hutibiwi...!!! kama anaona mzee anamaliza hela zake why ampeleke india si akoame nae kwenye hospital za gharama...??
 
Kuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.

Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?

Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.

Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nitarudi baadae.....!!!
 
Aisee poleni.
Ingawa uandishi wa mada zako nyingi huwa unanifanya nione kuwa unaandikaga jokes na unrealistic things. Ila kama ni tukio la kweli Mungu awatie nguvu mpate njia nzuri ya kwenda na hili jambo.
 
Achana na mambo ya imani za dini, wewe umeenda kwenye hoja inatosha! Tukianza kuleta mambo ya dini hapa kila mmoja lazima asifie imani yake kama alivyoipata kwa mapokeo! Kwani babu wa babu wa babu yako alikuwa na dini? Si alikuwa anaishi porini kama ndezi tu!
ficha ujinga wako kidogo

JamiiForums1989027988.jpg
 
Mkuu pole.
Kwanza kwa kuwa ombi lakumchukua mzee umelielekeza kwa Mungu moja kwa moja naamin atajibu sawa na mapenz yake.
Ukiachana napesa mnazotumia kumhudumia mzee,bado Kuna mateso anayapitia ambapo unaweza kumhurumia hata kutaman afe tu ili apumzike
 
Kuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.

Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?

Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.

Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
kuna kitu nimejifunza hapa: Kuna haja ya kuwekeza sana pesa tunazozipata kipindi cha ujana ili tusiwe kero kwa watoto wetu hapo baadae, tupunguze sana matumizi yasiyo ya lazima ili kutengeneza kesho isiyo na bugza kwa ndugu na watoto, kwasasa KIFO ni msaada mzuri kwake ila mpaka muda wa Mungu utakapofika msimharakishe wala msisikie kumchoka. Mungu awakumbuke.
 
kwa hiyo muhimbili ukiwa na bima hutibiwi...!!! kama anaona mzee anamaliza hela zake why ampeleke india si akoame nae kwenye hospital za gharama...??
Unani-aibisha jombaa!

Kwamba hujawahi kusikia mtu kazunguka hospital zote bongo akakosa matibabu akalizimika kwenda nje? Tena hizo hizo hospital za gharama ndio zinatoa rufaa.

Mfano Sajuki mume wa Wastara alikua mjinga kuomba misaada kupelekwa nje?
 
sasa point yako ni kweli ila UNATAKA MTU AFE UMECHOKA KUMHUDUMIA... hapo hapo unakopa mahelaa kumsafirisha kwenda india itakuwa ni bhangi...!!
 
Pole kwa kuuguza kaka, hamna jinsi kama yeye aliwajibika ipasavyo wakati mnakua pengine mlikuwa hata zaidi ya watoto watatu!! Uwajibikaji umehamia kwenu hamna jinsi pambaneni mkishirikiana na madaktari wawaeleze hali halisi!!! Ingekuwa kwa wenzetu kuna "Mercy killing"
Hivi wewe jamaa una roho kweli?
 
sasa point yako ni kweli ila UNATAKA MTU AFE UMECHOKA KUMHUDUMIA... hapo hapo unakopa mahelaa kumsafirisha kwenda india itakuwa ni bhangi...!!
Sijakusoma.

iko hivi....

Nimepambana kumuuguza mzee (wa miaka 90+). Nimetumia gharama sana. ikiwamo na hizo za kumpeleka nje. Juhudi zote hazijasaidia.

Matumaini ya mzee kupona ni almost NIL.

Sasa si bora afe tu? Maisha lazima yaendelee.

We unadhani hata ukipambana mpaka ukauza mapumbu yote mawili kugharamia matibabu ndio atapona na kuishi mile?
 
pole najua ushatumia gharama nyingi so kama huna uwezo tena fanya changisha hata kwa ukoo ikishindikana kama unavyosema bhasi nature itaamua pole sana
 
Sikulaumu unahaki ya kulalamika,ni kweli umechoka, kila unachokiandika kweli yaonyesha moyo hauwezi tena

Ni ngumu sana moyo unapofika eneo hilo,yawezekana hujui umuhimu au utamu wa uhai wa mshua angali yu hai sasa

Nimeondokewa na baba yangu mzazi last year,huyu baba yangu hakua mtu wa kisport sport ni mkali mno pilipili ikasome

huwezi kaa nae ukaona jino lake akikuchekea he is very serious wakati wote,watoto wote rafiki yetu alikua mama ila sio baba.

Baba yetu alitupenda sana watoto wake (namaanisha hili mkuu) upendo wake kwetu watoto wake sio wa level ya kawaida, tulipokua shule ukirudi kumuomba hela ya Trip, anakupa sura kakaza ila atakupa Hata trip muwe mnaenda kwenye SAYARI i cost millions baba alikua anatoa.

Ktk kipindi chote cha uhai wa mzee sikumbuki lini niliwahi kaa nae tukawa tunacheka tunapga story na kutaniana,sijawahi wala sikumbuki.

Mkuu,Mshua amefariki Mungu kamchukua My dear Brother naliona PENGO la mzee, na miss kitu, am incomplete MAN by now, sipo sawa tena I miss him, You can ask me nam miss kwa lipi sasa? Ki ukweli uwepo wake,Pumzi yake,sauti yake, kumsikia watu wakimuongelea YES najiona nina BABA.

Sasa hivi simsikii tena,hayupo,naona picha zake tu Nalia kila ninapomkumbuka,natamani angekua mgonjwa kama alivyo baba yako niwe naenda mtazama pale kitandani,nim kiss,nimkumbatie Nimwambie NAKUPENDA BABA hata kama haongei ila najua atasikia.

Mkuu kuna ulemavu wa aina nyingi lakini ulemavu wakukosa mzazi sio ulemavu wa kawaida, Mpende tu baba mkuu Nakuhakikishia akiondoka leo hii, Utashinda ndani wiki au mwezi mzima huongei na mtu ulimi utapoteza taste za vyakula vyote vitamu dunia hii,utakua unatembea kama robot,itakuchukua muda kuwa sawa mkuu.

Usione kawaida unavyosema baba baba baba unapgiwa simu unaambiwa story za baba baba baba,brother unakuja Ukimya ambao hutosikia tena neno baba, utasikia wenzako wakilitamka,ukiona matangazo ya voda,au makampuni familia ikiwa na baba na watoto (uta mmiss sana mshua)

Bado sikulaumu mkuu,Unajua kwanini sikulaumu,Maishani mwangu nimechagua kukataa umaskini Napambana sana,nahangaika sana na haya maisha mkuu,hadi na leo hii ninapambana kwa level ambazo hamna kijana ataekuwa na mafanikio yangu akapambana kama ninavyoendelea mimi.

Unajua kwann mkuu,UMASKINI ni sababu ya yote haya,ungekua na PESA usingelalamika,haya yote n sababu haupo sawa kiuchumi,Mkuu mimi nimesema niwapendao hata kama itabidi wawekewe mioyo ya kutumia BETRI nitalipia hizo BETRI hata kama gharama ya kuchaji betri ikiwa ni millions Nitatoa hizo pesa.

Umaskini Ni laana,siupendi nauchukia,nimeona uzi wako Sijakuchukia wewe ila nimeuchukia UMASKINI sio mzuri mkuu the reason of all these is POVERTY, Nakataa umaskini napambana na nitaendelea kupambana milele.

Nimebaki na MAMA tu ila kama Mungu hatomchukua kwa hiari yake asee hakuna kitu itamchukua mama yangu,What is Money siwezi itwa YATIMA mimi,asee nitamlinda huyu niliebaki nae kwa gharama zozote zile,Mkuu sina la kusema juu yako nakuombea Mungu aguse Moyo wako utambue kuwa baba ni baba ana umuhimu wake mkubwa sana maishani mwako, Unaitwa nani shule? Jina lako la pili ni la huyo uliemchoka hapo mkuu.

He is a master siku 1 utaelewa hii risala yangu Mungu atakapomchukua mshua.
 
Sijakusoma.

iko hivi....

Nimepambana kumuuguza mzee (wa miaka 90+). Nimetumia gharama sana. ikiwamo na hizo za kumpeleka nje. Juhudi zote hazijasaidia.

Matumaini ya mzee kupona ni almost NIL.

Sasa si bora afe tu? Maisha lazima yaendelee.

We unadhani hata ukipambana mpaka ukauza mapumbu yote mawili kugharamia matibabu ndio atapona na kuishi mile?

Sawa unaweza usimuuguze ukadhani ndio umauti unamfika, kumbe mzee ataendelea kudunda kwa uwezo wake Allah

Vijana wengi wamechomoka na kuwaacha wazee wao wakipeta

Allah determines the time,
muda ukifika umefika, haijalishi mtoto, kijana ama mzee, siku zikifika zimefika.
 
Sikulaumu unahaki ya kulalamika,ni kweli umechoka, kila unachokiandika kweli yaonyesha moyo hauwezi tena

Ni ngumu sana moyo unapofika eneo hilo,yawezekana hujui umuhimu au utamu wa uhai wa mshua angali yu hai sasa

Nimeondokewa na baba yangu mzazi last year,huyu baba yangu hakua mtu wa kisport sport ni mkali mno pilipili ikasome

huwezi kaa nae ukaona jino lake akikuchekea he is very serious wakati wote,watoto wote rafiki yetu alikua mama ila sio baba.

Baba yetu alitupenda sana watoto wake (namaanisha hili mkuu) upendo wake kwetu watoto wake sio wa level ya kawaida, tulipokua shule ukirudi kumuomba hela ya Trip, anakupa sura kakaza ila atakupa Hata trip muwe mnaenda kwenye SAYARI i cost millions baba alikua anatoa.

Ktk kipindi chote cha uhai wa mzee sikumbuki lini niliwahi kaa nae tukawa tunacheka tunapga story na kutaniana,sijawahi wala sikumbuki.

Mkuu,Mshua amefariki Mungu kamchukua My dear Brother naliona PENGO la mzee, na miss kitu, am incomplete MAN by now, sipo sawa tena I miss him, You can ask me nam miss kwa lipi sasa? Ki ukweli uwepo wake,Pumzi yake,sauti yake, kumsikia watu wakimuongelea YES najiona nina BABA.

Sasa hivi simsikii tena,hayupo,naona picha zake tu Nalia kila ninapomkumbuka,natamani angekua mgonjwa kama alivyo baba yako niwe naenda mtazama pale kitandani,nim kiss,nimkumbatie Nimwambie NAKUPENDA BABA hata kama haongei ila najua atasikia.

Mkuu kuna ulemavu wa aina nyingi lakini ulemavu wakukosa mzazi sio ulemavu wa kawaida, Mpende tu baba mkuu Nakuhakikishia akiondoka leo hii, Utashinda ndani wiki au mwezi mzima huongei na mtu ulimi utapoteza taste za vyakula vyote vitamu dunia hii,utakua unatembea kama robot,itakuchukua muda kuwa sawa mkuu.

Usione kawaida unavyosema baba baba baba unapgiwa simu unaambiwa story za baba baba baba,brother unakuja Ukimya ambao hutosikia tena neno baba, utasikia wenzako wakilitamka,ukiona matangazo ya voda,au makampuni familia ikiwa na baba na watoto (uta mmiss sana mshua)

Bado sikulaumu mkuu,Unajua kwanini sikulaumu,Maishani mwangu nimechagua kukataa umaskini Napambana sana,nahangaika sana na haya maisha mkuu,hadi na leo hii ninapambana kwa level ambazo hamna kijana ataekuwa na mafanikio yangu akapambana kama ninavyoendelea mimi.

Unajua kwann mkuu,UMASKINI ni sababu ya yote haya,ungekua na PESA usingelalamika,haya yote n sababu haupo sawa kiuchumi,Mkuu mimi nimesema niwapendao hata kama itabidi wawekewe mioyo ya kutumia BETRI nitalipia hizo BETRI hata kama gharama ya kuchaji betri ikiwa ni millions Nitatoa hizo pesa.

Umaskini Ni laana,siupendi nauchukia,nimeona uzi wako Sijakuchukia wewe ila nimeuchukia UMASKINI sio mzuri mkuu the reason of all these is POVERTY, Nakataa umaskini napambana na nitaendelea kupambana milele.

Nimebaki na MAMA tu ila kama Mungu hatomchukua kwa hiari yake asee hakuna kitu itamchukua mama yangu,What is Money siwezi itwa YATIMA mimi,asee nitamlinda huyu niliebaki nae kwa gharama zozote zile,Mkuu sina la kusema juu yako nakuombea Mungu aguse Moyo wako utambue kuwa baba ni baba ana umuhimu wake mkubwa sana maishani mwako, Unaitwa nani shule? Jina lako la pili ni la huyo uliemchoka hapo mkuu.

He is a master siku 1 utaelewa hii risala yangu Mungu atakapomchukua mshua.
Una element za kike!
 
Sawa unaweza usimuuguze ukadhani ndio umauti unamfika, kumbe mzee ataendelea kudunda kwa uwezo wake Allah

Vijana wengi wamechomoka na kuwaacha wazee wao wakipeta
Hata akisurvive, hawezi katisha miaka 10+ lazima atakufa.
 
Mkuu.. wewe huujui uislamu kuliko mimi. Ungenyamaza tu ili usije leta mjadala wa kidini hapa. Mimi toka babu yangu alikuwa sheikh, mufti na alhaj.

Wewe maamuma tu unataka jifanya unaifahamu dini na mistari ya kukariri kuliko watu wenye uelewa wa dini? Acha huo upuuzi hapa tunaongea kisomi siyo kimaamuma.
Rubbish ..so babu yako kuw mufti ndio nin hii inadhihirisha ulivo jahil mkubwa wa uislamu ....ngoja nkuomgeze na hadith iliyok sahihi buhkar kuwa siku ya kiama atakuja mtu kudai ujira wa kumuuguza mzee wake na kumtunza atadai apewe jannah kwa kitendo hiko ..Allah atamwambia ulikuwa unamuuguza ila moyon ulikuwa una wish afe ....hadith ni sahihi na imefanana na kadhia yako ,unadai unaujuwa uislamu hujui kuwa Allah amewaahid waja wake mitihan ,je hujui huenda hio ndio pepo yako kama utafaulu huo mtihan ???
 
Niliwahi sikia baadhi ya makabila kuna dawa huwa wanameza..sasa wakifikia hatua ya uzee hawafi haraka..yaani mpaka kuna dua maalumu wanasomewa ndio wanakufa..inaweza kufikia mtu ni mzee mpaka baadhi ya sehemu za mwili kama zinaoza ila bado hakati moto..

Binafsi naamini kila mtu anakufa kwa siku zake..kama siku zake bado msitake kumuwahisha..unless mfanye kama baadhi ya nchi za ulaya kumchoma sindano..kitu ambacho sio sawa.
Hiyo dua iko kwenye kitabu gan
 
Back
Top Bottom