MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Leo nimeulizia zile kacha wanazouza masai zile za mkononi nikitaka nimchukulie shemeji nikaambiwa bei ni 20$, niliishiwa nguvuZanzibar pa kijinga sana, niliuziwa ndizi moja buku 2 nikabaki mdomo wazi, tena hapo ni pale forodhani!
Ukija kwenye bei za lodge ndo utachoka, lodge ya 70k kwa dar ni 20k!
Mkuu huku wazungu ni kama nyumbani tu, kati ya watu 10 utaopishana nao kwenye maeneo nlotaja apo juu na mengine mengi ambayo sijataja basi 6 kati yao ni wazungu ila sifikiri kama ni sahihi sisi wazawa kuuziwa bidhaa bei sawa na wazunguNadhani kwa kuwa Watalii wengi wanaenda huko ndiyo maana vitu vinakuwa expensive!
Uliaga ukienda Zenji? Naskia siku hizi watu wanaenda na kurudi kimya kimya kwasababu wanaogopa kuulizwa rinda,liko salama?Mkuu huku wazungu ni kama nyumbani tu, kati ya watu 10 utaopishana nao kwenye maeneo nlotaja apo juu na mengine mengi ambayo sijataja basi 6 kati yao ni wazungu.
Ficha ujinga wako kijanaUliaga ukienda Zenji? Naskia siku hizi watu wanaenda na kurudi kimya kimya kwasababu wanaogopa kuulizwa rinda,liko salama?
Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uliaga ukienda Zenji? Naskia siku hizi watu wanaenda na kurudi kimya kimya kwasababu wanaogopa kuulizwa rinda,liko salama?
Dubai watalii hawaendi? Hela ya kuishi dubai wiki moja unaishi znz siku3 tu.Nadhani kwa kuwa Watalii wengi wanaenda huko ndiyo maana vitu vinakuwa expensive!
Wanadai ni mji wa kitalii!Samaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa DXB ndani ya wiki mbili, Angalau Stone Town unaweza kusurvive.
Kwa experience yangu hapa Tanzania sijaona sehemu inaifikia Zanzibar kwa gharama za maisha.
All in all Karibuni Zanzibar, ni Kuzuri sana.
Wamewahi kukuomba msaada?Wanadai ni mji wa kitalii!
Kuna jamaa alinidokeza kuwa wenye ndugu majuu huwa wanawatumia ndugu zao mchele, mafuta ya kupikia, sukari, beans, nyanya za kopo nk nk !
Nilishangaa mno! Je wenyeji wavivu? Au ndio uislamu imewadhoofisha wasilime, kufanya kazi au ?!
Very embarrassing aiseee....
Ndizi Buku Benga? Yaan ndizi 1 2000 km 2000target ya wateja wao sio waswahili ni wageni
Wakikuona wa bara wanajua mtalii unahelaMkuu huku wazungu ni kama nyumbani tu, kati ya watu 10 utaopishana nao kwenye maeneo nlotaja apo juu na mengine mengi ambayo sijataja basi 6 kati yao ni wazungu ila sifikiri kama ni sahihi sisi wazawa kuuziwa bidhaa bei sawa na wazungu
Kuna Mtu labda alikulazimisha kwenda huko?Zanzibar pa kijinga sana, niliuziwa ndizi moja buku 2 nikabaki mdomo wazi, tena hapo ni pale forodhani!
Ukija kwenye bei za lodge ndo utachoka, lodge ya 70k kwa dar ni 20k!
Ndio ndizi iuzwe 2000? Hata K/Koo ni Jiji la kitalii Ila hukuti ndizi ikiuzwa 2000Znz jiji la kitalii ukienda lazima ujipange kwanza
Tena nawalaumu kwa Umuhimu wa Kiutalii wa hicho Kisiwa hiyo Ndizi Moja walitakiwa Waiuze Shilingi Elfu Tano badala ya hiyo Nafuu ya Shilingi Elfu Mbili.Ndio wakuuzie ndizi 1 Buku 2?
Ulishawahi kutembelea fukwe za kitalii Zanzibar? Isijekua nabishana na mtu hahawahi ata kuvuka majiNdio ndizi iuzwe 2000? Hata K/Koo ni Jiji la kitalii Ila hukuti ndizi ikiuzwa 2000