Kwa hiyo hao kina Ibrahim Bacca na Fei Toto wana miaka mingapi kimuonekano?Zanzibar umri wa kuishi upo chini sana kwa utafiti niliyo ufanya wazee wachache saba, kwenye familia kumi ya watoto kuanzia Miaka 30 kukuta wana wazazi wapo Hai ni familia 2 tu familia 8 hazina wazazi wamefiwa na wazazi yani kukuta kijana mkubwa mwenye miaka 45 bado wazazi wake wapo hai ni ngumu, kingine nilicho ona Wazanzibar wanawahi kuzeeka mapema na kuchoka kwa Marathi hii inasababishwa na uraji wa vyakula kutoka nje, utakuta Mzanzibar mpaka ana Zeeland hajawai kula kuku wa kienyeji wao kuku wao ni kutoka Uturuki na nchi nyinginezo na Mchele hivyo hivyo wanapenda Michele ya nje haina ubora. Ukimchukua kuja wa Tanganyika mwenye miaka 20 na kijana Wa Zanzibar mwenye miaka 20 kijana wa Zanzibar anaoneka mkubwa ana karibia miaka 27 kimuonekano.