Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

Nickweli sehemu nyingi Zanzibar papo hovyo hakuna mipango miji yani ukichukua Kijitonyama na Sinza ndiyo Masaki ya Zanzibar, Zanzibar mitaa yao imejengeka kana ilivyo Magomeni, Manzese Mburahati, Vingunguti, kigogo, keko, Sema wao uswahilini

kwao hakuna watu wengi kumetulia lakini kupo hovyo.
Sio kweli, Chukwani na Mbweni kumejengeka na kupangiliwa angalau
 
Mishikaki ya pweza elfu 8 pale forodhani😂😂😂.nilinunua sababu nilipiga hela za freemason. Ila ingekuwa hela zangu nisingenunua
First time nimekuja uku nilianzia 6 degrees pale Stone town savannah moja 5$, kilimanjaro kubwa 3$ , baked pork chops with potatoes (kitimoto)30$ nilitamani kurudi Bongo kesho yake😅 ilibidi nihame location
 
Wanadai ni mji wa kitalii!
Kuna jamaa alinidokeza kuwa wenye ndugu majuu huwa wanawatumia ndugu zao mchele, mafuta ya kupikia, sukari, beans, nyanya za kopo nk nk !
Nilishangaa mno! Je wenyeji wavivu? Au ndio uislamu imewadhoofisha wasilime, kufanya kazi au ?!
Very embarrassing aiseee....
Acha ujinga.Hao ndugu zao wanaowatumia hivyo vitu sio waislamu?Mbona wanafanyakazi na kuwasaidia ndugu zao.
 
na sasa hivi wametambulisha ujinga wa kulipa dola 44 kama inbound insurance kwa kila kichwa kimoja cha mtalii. wanasiasa hopeless..in long run utalii utajifia hapo zanzibar kutokana na upumbavu wa serikali na gharama zisizoendana na ubora/uhalisia ukilinganisha na sehemu zingine za visiwa.
Na hili litakimbiza watalii wengi sana.
 
Mishikaki ya pweza elfu 8 pale forodhani😂😂😂.nilinunua sababu nilipiga hela za freemason. Ila ingekuwa hela zangu nisingenunua
Wiki iliyopita ninunua mshikaki wa samaki elfu nane, juisi ya miwa elfu 5. Yaani maisha kule hapana aisee. Ukienda nje kidogo ya stone town watu wanaishi maisha ya tabu sana. Wamedhoofika hatari.
 
Mkuu Mimi Niko Paje uku Villa Moja nalipia 90$, soon narudi Bongo
Mkuu, Wasalimie hapo Jambiana nilikua pande hizo za Paje Holiday ya 2022.

Nilifanikiwa kuingia pale Colar Rock Hotel kulikua na live show. Hapo tots moja ya John Walker Red Label ni 10K, imagine hadi uje kuwaka umeacha kiasi gani nilikuja kushtuka nipo tots ya 12 halafu bado sielewi nikaona hawa wana masihala na pesa zangu na hata saa 7 usiku sijatoboa.
 
Jambiani sijafika mkuu, niko hapa Paje barabara ya Michamvi, Johnnie walker kubwa (Red Label) sehemu nyingi wanauza 50$, nimeanza kujifunza kitesport (40$ kwa saa😅) nikishajua ndo nitoke uku maana nimeona ni fursa nzuri sana next time nikija sitosumbuka sehem ya kureplace gharama za kustay uku.

thumb up 👍
 
Watalii wanaenda Zanzibar wengi wao ni Wazungu wa uchumi wa chini, Zanzibar unaenda generic kununua mahitaji utakutana na Mzungu ananunua kiting Kimora na fungu la Nyanya na mchicha.
😂 kuna wazungu waswahili usikariri wazungu wengine ma beach boy tu!,sasa mtu ananyumba hukuhuku ulitaka akanunue nyanya gunia..?
 
Mkuu, Wasalimie hapo Jambiana nilikua pande hizo za Paje Holiday ya 2022.
sawa
Nilifanikiwa kuingia pale Colar Rock Hotel kunyikua na live show. Hapo tots moja ya John Walker Red Label ni 10K, imaginb uje kuwaka umeacha kiasi gani nilikuja kushtuka nipo tots ya 12 halafu bado sielewi nikaona hawa wana masihala na pesa zangu na hata saa 7 usiku sijatoboa.
kwani konyagi hukuziona..?? Zanzibar kodi za vilevi ni kubwa usiwalaumu wauzaji serikali ndio tabu.. mkuu ungetafuna hata jagermaister ile tot haiwezi kufika 10000...😂
 
Jambiani sijafika mkuu, niko hapa Paje barabara ya Michamvi, Johnnie walker kubwa (Red Label) sehemu nyingi wanauza 50$, nimeanza kujifunza kitesport (40$ kwa saa😅) nikishajua ndo nitoke uku maana nimeona ni fursa nzuri sana next time nikija sitosumbuka sehem ya kureplace gharama za kustay uku.

thumb up 👍
Hapo Michamvi usikose kuhudhuria swimming part kama sijakosea ni kila Jumanne usiku. Usisahau kupita na hapo chuoni kwa watasha wanaojifunza kiswahili.
 
kwani konyagi hukuziona..?? Zanzibar kodi za vilevi ni kubwa usiwalaumu wauzaji serikali ndio tabu.. mkuu ungetafuna hata jagermaister ile tot haiwezi kufika 10000...😂
Mkuu Konyagi haipiti ila hizo tot za Jagermaister haziwezi kuwa chini ya hiyo 10K 😂😂😂😂😂
 
Zanzibar pa kijinga sana, niliuziwa ndizi moja buku 2 nikabaki mdomo wazi, tena hapo ni pale forodhani!
Ukija kwenye bei za lodge ndo utachoka, lodge ya 70k kwa dar ni 20k!
Lodge nawaelewa wanafanya hivyo ilikuepusha ufuska na pia kupromote hotels inawasaidia sana,lodge ya elfu 40/35 bara 10k,pia kumbuka 95% ya vyakula vinatoka bara
 
Back
Top Bottom