Forodhani unakula chakula cha 20,000 na hautashiba😂Zanzibar pa kijinga sana, niliuziwa ndizi moja buku 2 nikabaki mdomo wazi, tena hapo ni pale forodhani!
Ukija kwenye bei za lodge ndo utachoka, lodge ya 70k kwa dar ni 20k!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forodhani unakula chakula cha 20,000 na hautashiba😂Zanzibar pa kijinga sana, niliuziwa ndizi moja buku 2 nikabaki mdomo wazi, tena hapo ni pale forodhani!
Ukija kwenye bei za lodge ndo utachoka, lodge ya 70k kwa dar ni 20k!
Maumivu yakizidi muone daktari.Uliaga ukienda Zenji? Naskia siku hizi watu wanaenda na kurudi kimya kimya kwasababu wanaogopa kuulizwa rinda,liko salama?
Hujui chochote mkuu, utanipotezea muda Bure.Kwanza unasemea zanzibar ipi pwani kwa watalii au mwanakwerekwe huko..!
Kama ni pwani kwa watalii huko sio size yako na sio size ya watanzania wengiii..
Ila sehemu nyingine zanzibar nikawaida kama sehemu nyingine Tanzania
Huko stone town vitu bei rahisi sana, huku paje na nungwi ndo kibokoForodhani unakula chakula cha 20,000 na hautashiba😂
Sasa paje huko ni kwa watalii huwezi sema maisha huko ni ghari wakati umeingia sehemu za kitalii..Hujui chochote mkuu, utanipotezea muda Bure.
Wiki ya pili Sasa nipo Paje Tena naishi Villa sio hotelini ila Mimi sio mtu wa kukaa sehemu Moja kama kuku wa Broiler, ninampango wa kutembelea fukwe zote maarufu ndo nirudi kuendelea na mitikasi yangu Dar
Last time nililala room ya 80,000/-niliona kama Niko hostel ya wanafunzi,very poor standard,kwa kifupi nilipewa chicken lala kwa dinner,Wacha nikimbize mwizi usiku kucha,kesho yake nilifanya kazi ya siku sita kwa siku moja na wala sikujali nilipopigwa barua na king kiki,nikamwambia Mimi sitafanya kazi tena huko hata kama ni ya siku kumi,Bora nifanye Arusha na Mbeya nigonge vyombo kwa Mlombo na maeneo ya mjini kati,unalala ghorofani kwa bei poa kabisa na maua ya Arusha kama yote,in fact DSM ndo mpango mzima,ukifanya kazi yako jioni ndani ya kaliakoo unaenda zile restaurant za wazambia au unaenda beach kila Kona ni good time.Nyama.choma kwa bei poa unagonga vitu na kusahau majanga ya mikoani,ukienda Coco beach ni Raha tupu,watoto kama wote, Zanzibar ni majanga sijui hata wanafaidi nini kwenye tozo tunazowasaidia,mda wote watu wamenuna.Aghhhh hovyo kabisaSamaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa DXB ndani ya wiki mbili, Angalau Stone Town unaweza kusurvive.
Kwa experience yangu hapa Tanzania sijaona sehemu inaifikia Zanzibar kwa gharama za maisha.
All in all Karibuni Zanzibar, ni Kuzuri sana.
Nasubiri ukweli kutoka kwa aliyesema hela ambayo Dubai utakaa wiki kwa Zanzibar unaweza kukaa siku tatu. Nimemuuliza swali vipi kuhusu nauli ya Dubai naona bado sijajibiwa. Nauli ya Zanzibar ni 30,000-35,000💯 tembea ujionee, Tena anzia tu apa Zanzibar
TRA inahitaji reform, mikopo ya nje sisi haituhusu walipe kwa mirahaba watuachie nchi yetu.Pesa ni ngumu sana kuipata kwa mkazi wa kawaida.
Yaani ule ni mji wa kwenda kutalii na kurudi, si mji wa kupiga kambi.
Kuna tabaka kubwa la walionazo na wenzangu na mimi.
Deal ni wale wanafamilia waliofanikiwa kutoka na kwenda ishi arabuni ndio msaada mkubwa, wanaokoteza mavitu ya mitumba na kuyatuma kisiwani. Thoo biashara imekua ngumu kwa sasa sababu target ni kuwauzia wabara.
Uwepo wa nyundo la Tra (wenyewe wanawaita kastam) umedororesha biashara hiyo. Wabara hawana mzuka tena na maelektroniki yao.
na sasa hivi wametambulisha ujinga wa kulipa dola 44 kama inbound insurance kwa kila kichwa kimoja cha mtalii. wanasiasa hopeless..in long run utalii utajifia hapo zanzibar kutokana na upumbavu wa serikali na gharama zisizoendana na ubora/uhalisia ukilinganisha na sehemu zingine za visiwa.Nilikutana na mtalii mmoja akilalamika kuhusu hotel na vyakula Zanzibar kuwa na gharama zisizoendana akilinganisha na visiwa vya Thailand sasa naanza kumwelewa taratibu.
Hongera MkuuMkuu Mimi Niko Paje uku Villa Moja nalipia 90$, soon narudi Bongo
Ni tabu tupuKuna nini cha ajabu Zanzibar
Ndio unajua leo hao asilimia 90 ya vyakula vyao wanategemea kutokea huku barA mkisitisha kupeleka vyakula wanakufa njaaSamaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa DXB ndani ya wiki mbili, Angalau Stone Town unaweza kusurvive.
Kwa experience yangu hapa Tanzania sijaona sehemu inaifikia Zanzibar kwa gharama za maisha.
All in all Karibuni Zanzibar, ni Kuzuri sana.
Chai 1000 kahawa 1000?Achana na ndizi kwanza, huku kinywaji Cha jero hakuna, Zanzibar nzima hukuti
Hapo Kendwa kuna malaya wa kizungu wengi sana, wengi wao kutoka Ukraine huko kwenye vita vya PutinSamaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa DXB ndani ya wiki mbili, Angalau Stone Town unaweza kusurvive.
Kwa experience yangu hapa Tanzania sijaona sehemu inaifikia Zanzibar kwa gharama za maisha.
All in all Karibuni Zanzibar, ni Kuzuri sana.
Mkuu uko sahihi, halafu lodge za ajabuajabu, yaani nyumba ni ngumu Sana hasa za kupangaZanzibar pa kijinga sana, niliuziwa ndizi moja buku 2 nikabaki mdomo wazi, tena hapo ni pale forodhani!
Ukija kwenye bei za lodge ndo utachoka, lodge ya 70k kwa dar ni 20k!
Sasa uislamu umeingiaje hapo mwehu wwWanadai ni mji wa kitalii!
Kuna jamaa alinidokeza kuwa wenye ndugu majuu huwa wanawatumia ndugu zao mchele, mafuta ya kupikia, sukari, beans, nyanya za kopo nk nk !
Nilishangaa mno! Je wenyeji wavivu? Au ndio uislamu imewadhoofisha wasilime, kufanya kazi au ?!
Very embarrassing aiseee....
Nakubaliana na wewe kabisa, serikali isipochukua hatua thabiti Ä·wa hakika Zanzibar wataenda watalii wachache sana na mtu anayependa kutoa pesa na kupata huduma zinazoendana na pesa yake wote watapakambia huko.na sasa hivi wametambulisha ujinga wa kulipa dola 44 kama inbound insurance kwa kila kichwa kimoja cha mtalii. wanasiasa hopeless..in long run utalii utajifia hapo zanzibar kutokana na upumbavu wa serikali na gharama zisizoendana na ubora/uhalisia ukilinganisha na sehemu zingine za visiwa.
Watalii wanaenda Zanzibar wengi wao ni Wazungu wa uchumi wa chini, Zanzibar unaenda generic kununua mahitaji utakutana na Mzungu ananunua kiting Kimora na fungu la Nyanya na mchicha.Tena nawalaumu kwa Umuhimu wa Kiutalii wa hicho Kisiwa hiyo Ndizi Moja walitakiwa Waiuze Shilingi Elfu Tano badala ya hiyo Nafuu ya Shilingi Elfu Mbili.
Maeneo mengi Zanzibar huwezi kulima kwasababu ardhi yake asilimia nyingi ni mwamba (jiwe) hapalimikiWanadai ni mji wa kitalii!
Kuna jamaa alinidokeza kuwa wenye ndugu majuu huwa wanawatumia ndugu zao mchele, mafuta ya kupikia, sukari, beans, nyanya za kopo nk nk !
Nilishangaa mno! Je wenyeji wavivu? Au ndio uislamu imewadhoofisha wasilime, kufanya kazi au ?!
Very embarrassing aiseee....
Nickweli sehemu nyingi Zanzibar papo hovyo hakuna mipango miji yani ukichukua Kijitonyama na Sinza ndiyo Masaki ya Zanzibar, Zanzibar mitaa yao imejengeka kana ilivyo Magomeni, Manzese Mburahati, Vingunguti, kigogo, keko, Sema wao uswahiliniKwanza unasemea zanzibar ipi pwani kwa watalii au mwanakwerekwe huko..!
Kama ni pwani kwa watalii huko sio size yako na sio size ya watanzania wengiii..
Ila sehemu nyingine zanzibar nikawaida kama sehemu nyingine Tanzania