Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

na sasa hivi wametambulisha ujinga wa kulipa dola 44 kama inbound insurance kwa kila kichwa kimoja cha mtalii. wanasiasa hopeless..in long run utalii utajifia hapo zanzibar kutokana na upumbavu wa serikali na gharama zisizoendana na ubora/uhalisia ukilinganisha na sehemu zingine za visiwa.
Screenshot_20240818_124511_Tripadvisor.jpg
Screenshot_20240818_124546_Tripadvisor.jpg
 
Nataka kwenda kujenga lodge ya kawaida self contained safi sana kule Zanzibar. Je nitaruhusiwa?.
Una ruhusiwa ila inabidi ukajenge Mashambani ukijenga mjini huta pata wateja kwasababu wenyeji wa uko siyo watumiaji wa lodge wao mfumo wao utakuta kijana Kaoa au hajaoa bado anaishi nyumbani kwa wazazi ila wanapanga chumba kwaajili ya kukutana na wapezi wao au michepuko kwa upandr wa waume za watu.
 
Back
Top Bottom