Gharama za nauli, chakula, maji, bundle, pamoja na kodi zinafanya biashara nyingi ziwe changamoto

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Tuseme una duka lako mahali pengine mjini na una kijana mzuri tu mwaminifu anakuuzia ila cheki utitiri wa gharama za uendeshaji.

1. Assume mnakaa mbali na duka na kijana anatakiwa alipe Hela ya usafiri mfano 1000 ya bajaji au boda kwenda na kurudi Kwa siku ni 2000 Kwa mwezi ni 60000/=

2. Kijana anatakiwa ale Kwa siku tufanye 2000 Kwa mwezi ni 60000/=

3. Maji ya kunywa akisema anywe ya 1000 kila siku Kwa mwezi ni 30000/=

4. Kijana kama ana simu atahitaji aunge GB 1 Aburudike na video za tiktok za ku twerk makalio na MB zinazobaki azimalizie usiku kupigia nyeto (hahahaha was nyeto necessary?) 🤣 kila siku 2000 ya vocha Kwa mwezi ni 60000/=

5. Kodi hapo ya fremu kila mwezi tuseme 50000/=

6. Kijana muuzaji hawezi kukaa kilofa hakuna fala mjini hapa Mara kapita muuza modo kijana kaipenda atatoa 7000 mule mule dukani kijana lazima amfurahishe Jamaa Zake anaweza kumtumia 5000.assume katumia zaidi ya 30000/= kwenye mambo yake binafsi..

Jumla Kuu ni Tsh. 290,000/=

Haya hapo Kwa mazingira hayo kuna kazi kweli hata kama duka likiwa na mtaji wa million Lazima ufilisike maana matumizi ya uendeshaji yanazidi faida.
 
Na hapo kijana awe anaishi kwako au kwao au ndani ya duka kama Waha. Kama amepanga story ni nyingine kabisa😆😆
 
Hakuna atakaye kuja kutoa jibu la maana hapa yani exactly solution kwa hyo gharama atakwambia usile.

Sikula vizuri mwezi mzima hapa nna hati hati ya kupata bawasiri yani maisha ni vurugu mpk unakufa.

Nikitok job napita sinza nayaangalia hay maduka nabaki kusema kila mtu na njia zake ila za darasani tuwa achie wazungu.
 
Hapo ni hela ya kula tuu hayo uliyoandika mengine kama unampa uliyemuajiri basi hauko serious na biashara unayofanya.
 
Au waliojiriwa sehemu nyingine wanapewa hela ya maji, nauli, suruali umeipenda mtaani, 5000 ya kumtumia rafiki, bando? umeandika kama mwanafunzi wa chuo
 
Hujui unalosema yaani mtu aishiwe bundle na kwenye droo kuna hela ashindwe kuchomoa 2000
 
Hapo Kwenye biashara lazima mtu awe na akili za kubana matumizi, or else...
 
Ivi kima cha chini cha mfanyakazi aloajiriwa serikalini ama sekta binafsi kwa sasa ni bei gani?
Tulinganishe na makadirio hayo ya nauli/msosi/maji/vocha etc
 
Vingi hapo sio vya lazima, ila pia inategemea unafanya biashara gani.

Hizi biashara za maduka rejareja almaarufu Mangi shop ni ngumu kumdhibiti mfanyakazi kuchomoa noti.
Biashara zenye hesabu kali kama bar, bidhaa za jumla zinazohesabika, biashara za miamala ya pesa.
Hizo mfanyakazi anadhibitiwa kutapanya pesa.
 
Tuseme una duka lako mahali pengine mjini na una kijana mzuri tu mwaminifu anakuuzia ila cheki utitiri wa gharama za uendeshaji.

1. Assume mnakaa mbali na duka na kijana anatakiwa alipe Hela ya usafiri mfano 1000 ya bajaji au boda kwenda na kurudi Kwa siku ni 2000 Kwa mwezi ni 60000/=

2. Kijana anatakiwa ale Kwa siku tufanye 2000 Kwa mwezi ni 60000/=

3. Maji ya kunywa akisema anywe ya 1000 kila siku Kwa mwezi ni 30000/=

4. Kijana kama ana simu atahitaji aunge GB 1 Aburudike na video za tiktok za ku twerk makalio na MB zinazobaki azimalizie usiku kupigia nyeto (hahahaha was nyeto necessary?) [emoji1787] kila siku 2000 ya vocha Kwa mwezi ni 60000/=

5. Kodi hapo ya fremu kila mwezi tuseme 50000/=

6. Kijana muuzaji hawezi kukaa kilofa hakuna fala mjini hapa Mara kapita muuza modo kijana kaipenda atatoa 7000 mule mule dukani kijana lazima amfurahishe Jamaa Zake anaweza kumtumia 5000.assume katumia zaidi ya 30000/= kwenye mambo yake binafsi..

Jumla Kuu ni Tsh. 290,000/=

Haya hapo Kwa mazingira hayo kuna kazi kweli hata kama duka likiwa na mtaji wa million Lazima ufilisike maana matumizi ya uendeshaji yanazidi faida.
Uko sahihi mkuu, biashara ina ugumu wake
 
Tuseme una duka lako mahali pengine mjini na una kijana mzuri tu mwaminifu anakuuzia ila cheki utitiri wa gharama za uendeshaji.

1. Assume mnakaa mbali na duka na kijana anatakiwa alipe Hela ya usafiri mfano 1000 ya bajaji au boda kwenda na kurudi Kwa siku ni 2000 Kwa mwezi ni 60000/=

2. Kijana anatakiwa ale Kwa siku tufanye 2000 Kwa mwezi ni 60000/=

3. Maji ya kunywa akisema anywe ya 1000 kila siku Kwa mwezi ni 30000/=

4. Kijana kama ana simu atahitaji aunge GB 1 Aburudike na video za tiktok za ku twerk makalio na MB zinazobaki azimalizie usiku kupigia nyeto (hahahaha was nyeto necessary?) 🤣 kila siku 2000 ya vocha Kwa mwezi ni 60000/=

5. Kodi hapo ya fremu kila mwezi tuseme 50000/=

6. Kijana muuzaji hawezi kukaa kilofa hakuna fala mjini hapa Mara kapita muuza modo kijana kaipenda atatoa 7000 mule mule dukani kijana lazima amfurahishe Jamaa Zake anaweza kumtumia 5000.assume katumia zaidi ya 30000/= kwenye mambo yake binafsi..

Jumla Kuu ni Tsh. 290,000/=

Haya hapo Kwa mazingira hayo kuna kazi kweli hata kama duka likiwa na mtaji wa million Lazima ufilisike maana matumizi ya uendeshaji yanazidi faida.
kuna shughuli apo 🐒
 
Back
Top Bottom