Gharama za Ujenzi kwa Nyumba za ‘Contemporary’ Vs ‘Traditional’ Roof

Uko sahihi sana lakini:
1. Hutokana na kutumia watu wasio wazoefu....
Sawasa kuna mambo mengi ya kuzingatia.

Ukitaka kuifanya nyumba ya namnahii uifurahie tafuta fundi wa uhakika na usiwe bahiri hasa kwenye ujenzi wa gutter na upauaji wenyewe.
 
Kuna wajinga wanachimba tu ukuta anachomeka bati anapiga cement sijui na waterproof. Nyumba lazima ivuje, na pia kutu kwenye bati itakuja mapema sana. Synroof(Bitumen) bei ya ndoo moja 20kg ni 225,000 naona watu wengi wanakimbia bei au hawaijui
 
Hawajui watumie kitu gani mkuu, hii synroof ni nzuri sana na kwenye mifereji ukaweka na fabric (m cloth) kuvuja hutapaona tena
 
Huyo fundi wako anajijua kuwa hana mbinu ya kudhibiti maji, angekushauri kuwa tafuta mtaalam wa nyumba hizo.
Hii ni sawa na mafundi magari wanaposhindwa magari ya Nissan wanayasingizia ni mabovu
 
Hii nimeipenda
 
Huyo fundi wako anajijua kuwa hana mbinu ya kudhibiti maji, angekushauri kuwa tafuta mtaalam wa nyumba hizo.
Hii ni sawa na mafundi magari wanaposhindwa magari ya Nissan wanayasingizia ni mabovu
Alinielezea kwa upana kabisa hizo mbinu za kudhibiti maji, na ukisoma vizuri nilichoandika sijasema kuwa fundi aliniambia hizo nyumba zinavuja, wala hakusema hivyo ila aliniambia kama nia ni kusave cost, niachane nazo kwa sababu unasave cost kwenye bati na mbao, ila unaingliwa kwenye kutengeneza mifereji ya drainage system ili nyumba isivuje; Na cost mwisho wa siku inakuja almost the same na upauaji wa kawaida.
Kwa hiyo ndio maana alinishauri kama nia yangu ni kusave cost nitaishia kuumia tu. Ila kama nia ni kupata nikipendacho hata kama cost itakua sawa au zaidi ya upauaji wa kawaida, then hapo ni sawa.
Ukiona fundi anasema kuwa upauaji wa hivyo unavujisha sana nyumba, ujue kuwa hana ujuzi na utaalam wa kupaua kwa hiyo style.
 
Kuna wajinga wanachimba tu ukuta anachomeka bati anapiga cement sijui na waterproof. Nyumba lazima ivuje, na pia kutu kwenye bati itakuja mapema sana. Synroof(Bitumen) bei ya ndoo moja 20kg ni 225,000 naona watu wengi wanakimbia bei au hawaijui
Hapa ndio kwenye shida

Attachments

  • IMG_20210429_114706.jpg
    36.4 KB · Views: 97
Kaka huu ndio ukweli, hizo nyumba zinahutaji water proofing materials,
Sika nao wana variety of waterproofing materials.
 
[emoji28]kuna client anakuambia yani mm nimpe hela,mtu anayekuja kunyoosha kidole tu hapana!Watanzania wengi hawaamini katika utaalamu wao wanataka mtu uchafuke au ubebe tofali ukiwa site ndo akupe hela
 
Hawajui watumie kitu gani mkuu, hii synroof ni nzuri sana na kwenye mifereji ukaweka na fabric (m cloth) kuvuja hutapaona tena
Ni wazi wengi tunakua hatujui na ni ngumu kujua huyu fundi ni sahihi au la kwa muda ambao wewe unajenga
Yangu naweza sema haivuji zaidi ya kwenye gutter kunakuwa na udondoshaji wa kiaina,je hiyo fabric(m cloth) inapakwa au inatandikwa kwa ndani ya mfereji au kwa nje ya mfereji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…