Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

Haya maelezo (namba 2) umeyatoa wap? Waziri kasema sehemu zote kasoro ilala ambako hata hawahitaji kwa sasa

Watu wanapindisha sana maelezo as if ni vishoka wa TANESCO ili waendelee kunufaika,Kuna mwingine twita akaanza kupotosha kwamba elfu 27 ni kwa sehemu ya mradi mpya kama kwenu mradi ushapita na ulikuwa haujaunganishwa basi gharama ni zile zile 320k ukitaka kuunganganishwa(Upotoshaji).

Tangazo linasema kuunganishwa umeme kwa bei mpya ni 27k mjini na vijijini isipokuwa Dar city centre gharama zitakuwa zile zile.
 
Tushaanza kuona madhara ya siasa kwenye huu upuuzi. Dodoma umeme ulikua haukatiki ila siku hizi kila siku..kama sasa hivi maeneo ya nkuhungu huku umekatika

Piga simu tanesco utapewa sababu ya umeme kukatika.

Kuna sehemu umeme unakatika kwasababu ya maintanance (eg wanabadili nguzo za miti kwenda za zege) ,Fault(Unplanned).....
 
Nchi hii ni tajiri ingebidi hata hiyo 27,000 ifutwe tuungiwe bure
 
Mpende sana anaekukosoa, ukiendelea kujidumaza akili kwa kuwaamini hao wanaokusifia ukajiona uko right kila wakati utapotea, kazi kwako.
 
Inaonekana huelewi mambo mengi sana bwana mdogo. Ngoja nikueleweshe hiyo gharama ya TZS 27,000.00 ni kwa line ya phase moja ambayo mara nyingi wanaweka watu wa kipato cha chini. Mtu anayejenga nyumba ya ghorofa 20 hawezi weka umeme wa phase moja hata huyo wa apartment ulizozitaja. Pia elewa Ilala City Centre hakuna anayehitajj nguzo!

Pia nguzo ni mali ya TANESCO hivyo hakuna matinki ya kumuuzia mteja nguzo. Hata zamani wakati wa shirika moja la simu wateja walikuwa wanauziwa nguzo mpaka na line simu lakini siku hizi hakuna kitu kama hicho tunalipia airtime tu na ndiyo tunakoelekea kwenye umeme mkuu.

Kuna uwezekano wewe ni kati ya watu mliokuwa mnafaidika na ukiritimba wa kuwauzia wateja nguzo kwa bei ya juu pole sana itabidi ujipange upya najua mtajitahidi sana kuhujumu mipango hii ya sasa ili muendelee kuwasumbua wateja lakini hamtashinda jipange kufanyakazi nyingine hii ya nguzo imeshabuma.
 
Akili bogas.........kama umetumwa na mabepari ili aondolewe kafe mbele,shirika lisimamiwe kwa maslahi ya wote.
 
Tsh 27,000 ni kwa wateja wa single phase, ambao ndiyo the majority nchini.

Apartment ya ghorofa 20 nayo itafungwa umeme wa single phase?

Mwacheni Waziri Kalemani afanye kazi. Hizo hujuma zenu hamtofanikiwa.

Nchi hii kupata umeme bado ni ghali mnooo, as if ni anasa!

-Kaveli-
 
Kama Watu walikuwa wanalipa around laki 3 na inawachukuwa Tanesco miezi zaidi ya Mitatu kuja kukuunganishia huduma ya Umeme, sasa hii elf 27 tutarajie kuunganishiwa Umeme zaidi ya Miezi sita baada ya kulipia!
Mkuu kama kwa bei hiyo, tutasubili za ya miaka
 
Sawa,
Sasa Masaki, Mikocheni si Dar City center?
 
Sawa,
Sasa Masaki, Mikocheni si Dar City center?

City Center: - The central part or main business and commercial area of a city.

Sasa linganisha Posta Askari monument na Mikocheni/Masaki wapi ni center or commercial area of the city?
 
City Center: - The central part or main business and commercial area of a city.

Sasa linganisha Posta Askari monument na Mikocheni/Masaki wapi ni center or commercial area of the city?
Askari monument to G'mboto ni more than 10km, vivyo hivyo kwa Mbagala, Tegeta, Bunju, Kimara e.t.c

Hivi Masaki na Mikocheni, Msasani ni mbali kiasi gani kutokea Posta mpaka pasiwe Dar City Centre!?
 
Askari monument to G'mboto ni more than 10km, vivyo hivyo kwa Mbagala, Tegeta, Bunju, Kimara e.t.c

Hivi Masaki na Mikocheni, Msasani ni mbali kiasi gani kutokea Posta mpaka pasiwe Dar City Centre!?

Huko ulipopataja kote ni nje ya mji mkuu.
 

Hata mashuleni ada zirudi haraka au la Mawaziri Wa elimu wote, wabunge wote, CCM yote na Rais mwenyewe wafutwe kazi...!!

Haiwezekani mtu anayeishi Masaki au Upanga au Mbezi Beach na anamiliki jumba la ghorofa 10 na Magari kibao na mahela kibao eti naye anaimba wimbo wa "elimu bure TZ...!!'
 
Hapa nachati niko gizani. Umeme umekatika. Dharura zinatokea baada ya jpm kufariki.
Fvck this!
 
Unajuaje kwamba hakutumwa na Rais kushusha gharama za kuunganisha?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…