Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Nilishangaa sijui mleta mada Yuko nchi gani.Sisi tusiokuwa na tarrif mnatuumiza roho tu jamani. Imagine sh. 10,000 tunapata units 28.2
Lakini mimi nikinunua hivyo ya kwanza napata units 41, nikinunua tena ya 5000 napata units 36!!!!Huwa nafanya hivi baada ya kuona hiyo hasara huwa nalipa tsh 5000 napata unit 41 halafu nanua tena tsh 5000 napata unit 41 jumla napata unit 82 inakuwa afadhari kuliko unit 77 kwa tsh 10,000 kwa mkupuo.
Nimenunua jana wa 5000 nimepata units 36!!kwani mwanzoni nilinunua wa 5000, nikapata 41Nunua leo halafu utaniambia unapata unit ngap
Jamaa, ungekaa kimya tu, nyinyi mo nchi gani ?, mimi huku nilipo shs 10000 napata unit 28, sasa angalia usije haribu ulichonachoTANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Nasikia kama umeme umeisha kabla ya mwezi, huwezi nunua umeme mpaka mwezi uishe....ndiyo hivyo?Iyo elfu 10 kwa tariff 4 ama 0 mbona haiendani na hela iyo,nijuavyo mie ni kuwa Taiff 4 mwisho wa kununua ni elfu 9 na unapata unit 75,sasa izo 82 unapataje mwenzangu.
daaaah umeyapatia maisha kinomaTsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Duu ulikuwa unapata 82?TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Kwanza wanaangalia matumizi yako ya miezi mitatu ya nyuma, kama wakiangalia ndani ya miezi 3 matumizi madogo wanakuhamishaNawezaje kujiunga tariff 4 kutoka hii nilipo?
.....si kwamba anavuta mda ili wastani wake ubaki chini ya 75 kwa mwezi ?Nasikia kama umeme umeisha kabla ya mwezi,huwezi nunua umeme mpaka mwezi ussher....ndiyo hivyo?
Dah, me nimebaki natoa macho tu..Sisi tusiokuwa na tarrif mnatuumiza roho tu jamani. Imagine sh. 10,000 tunapata units 28.2
Hawezi kuharibu kwani ni utaratibu halali uliopo ndani ya Tanesco kwa mteja anayetimiza vigezo.Jamaa, ungekaa kimya tu, nyinyi mo nchi gani ?, mimi huku nilipo shs 10000 napata unit 28, sasa angalia usije haribu ulichonacho
Inshu sio kuingia, bali kuweza kubakia humo, kwani kwa siku unatakiwa usitumie zaidi ya units 2.5, je kwa matumizi yako una sifa hizo?Dah,me nimebaki natoa macho tu..
Tunafanyaje tuingie huko na sisi?
Hapa utakuwa umezima fridge na hutumiii birika kuchemsha chai?..Inshu sio kuingia, bali kuweza kubakia humo, kwani kwa siku unatakiwa usitumie zaidi ya units 2.5, je kwa matumizi yako una sifa hizo?