Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Muda mrefuHeeee!!ina maana wameshusha hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda mrefuHeeee!!ina maana wameshusha hivyo?
Upo mji gani? Kijijin au mjini?Ndio maana ni kwa watumiaji wadogo, sana sana, taa, radio, tv na feni.Mimi Nilichofanya , kwanza nilijibana kama mwezi mmoja, nikatumia units 40 nilisafiri kama mwezi hivi huku naendelea kununua, zikafika kama units 70, kwa sasa nina units kama 230!!na kila mwezi nanunua units 77!!kwa sasa natumia tu kwa raha zangu kama kawaida, kwani hawawezi nitoa tena, kwani nina akiba ya kutosha sana.
Ukiunganishiwa umeme mita inakuja na unit 10
Mkuu unatumia mita ipi nami niipambanie kuipata?TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Ni 72.3 if am not mistaken kama sio 73Iyo elfu 10 kwa tariff 4 ama 0 mbona haiendani na hela iyo,nijuavyo mie ni kuwa Taiff 4 mwisho wa kununua ni elfu 9 na unapata unit 75,sasa izo 82 unapataje mwenzangu.
He!!! Wenzio 10.000 tunapata unit 28!!!! Wewe basi unapata nyingi sana. Inakuwaje?TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Sahivi unit ni 10 tu afu sio lazima uende Tanesco. Inasemekana kuna automatic verification umeme ule wa mkopo ukitoboa siku zaidi ya 7... Halafu kuna ile tarrif ya 3000 'kama sijasahau kwa mwezi ni ipi? Kuna nyumba nilipanga lol hata kuchemsha maji huwezi, ukiweka tu jagi umeme unazimaInshu sio kuwekwa tarrif 4, unapounganishiwa umeme kwa mala ya kwanza huwa wanakukopesha units 50, ambazo, zikimalizika lazima uende tanesco kununua mwingine, hapo ndio huona kuwa je hizo units umezitumia kwa muda gani?!kwani ili uwe kundi hilo ni lazima matumizi yako kwa siku yasizidi units 2.5 kwa siku, je wewe matumizi yako kwa siku ni units ngapi?jitathimini wewe kwanza?kigezo hicho unakiweza?
Pitia comments zote utapata majibuHe!!! Wenzio 10.000 tunapata unit 28!!!! Wewe basi unapata nyingi sana. Inakuwaje?
Mkuu mimi natumia chini ya hizo kabisa.Inshu sio kuingia, bali kuweza kubakia humo, kwani kwa siku unatakiwa usitumie zaidi ya units 2.5, je kwa matumizi yako una sifa hizo?
Kwa watumiaji wa tariff 4 pekee ndo wanapata unit 77 kwa 9150.Ila kama hujahamishwa tarrif utapata hzo 28 units kwa 10kMkuu mimi natumia chini ya hizo kabisa.
Mbona sasa nanunua 10,000 unit 28.
Unaandika barua kwenda kwa menneja kuhamishiwa hiyo tarif 4 lakini lazima ukidhu masharti watakuja kufatilia nyumbani kwako wakihisi unakidhi ila kama ukiona kimya ujue hauna vigezo kuwekwa kwenye Tarrif 4.Nawezaje kujiunga tariff 4 kutoka hii nilipo?
Tariff 4Hizo Unit mnazipate wenzetu mbona sisi elf5 tunapata Unit 14!!
Msaada tafadhali
Ni sawa, hilo haliji automatically tu, lazima uende tanesco uandike barua, ndio waangalie, wakiona unastahili watakuhamisha tarrifMkuu mimi natumia chini ya hizo kabisa.
Mbona sasa nanunua 10,000 unit 28.
Ok!hahaaa sasa hizo units 10, utoboe zaidi ya siku saba kweli , ?ni ngumu, hakuna tarrif hiyo ya 3000, umeme unazima kwa kuisha au kuna shoti?Sahivi unit ni 10 tu afu sio lazima uende Tanesco. Inasemekana kuna automatic verification umeme ule wa mkopo ukitoboa siku zaidi ya 7... Halafu kuna ile tarrif ya 3000 'kama sijasahau kwa mwezi ni ipi? Kuna nyumba nilipanga lol hata kuchemsha maji huwezi, ukiweka tu jagi umeme unazima
Nipo darUpo mji gani? Kijijin au mjini?
ni kweli umedhurumiwa nenda ofisi husika kuliko kuja na kulalamika bila msaadaSometimes ukitaka majibu ya uhakika hatua ya kwanza ni kuwauliza wahusika (direct from the horses mouth) na kama una alternative kuliko kuwasubiri wajibu hapa jaribu kupiga simu / kuwatembelea ofisi zao za karibu.
Mimi natumia around 2 units per day,Inshu sio kuingia, bali kuweza kubakia humo, kwani kwa siku unatakiwa usitumie zaidi ya units 2.5, je kwa matumizi yako una sifa hizo?