Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.

Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Kalemani ana jibu,muulize
 
Napata unit 14. kwa tsh 5000/=

Ila cjui niko tarif gani...!?

Tatzo hawa Tanesco wanafanya siri ili watupige.

Haya mambo yangekuwa yako wazi tusingeona malalamiko kama haya..
 
Mimi waliniambia niwe nanunua wa Tsh 9100/= nisizidishe na huwa napata units 74.6
 
TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.

Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Polokwane tafuta hela.....usifurahie kuwa maskini
 
Aisee kwa 10 tunapata 28 unit .kumbe kuna watu wanapata 77 afu bdo wanalalamika ..ayo matarrif cjui yakoje nasi walau tupate hata 60 tuh [emoji16]
 
TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.

Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0

Tanesco wanamuhujumu mama nipo Atown nimenununa luku tangia asubuhi miamala imesitishwa samahani huduma hii haipatikani.
 
TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.

Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko kuna wizi mkubwa sana huko. Hii ni kwa wale wateja wa matumuz chini ya unit 75 tarif 0
Tarrif 4
 
Umeme gani wa majumbani eti 10,000/= (ELFU KUMI) ni units 72 badala ya 28.1?

Niggas be serious,hiyo si Tanesco itakua ni Tanesco toka mbinguni huko
Tunaotumia unit chini ya 75 kwa mwezi tunauziwa unit 74.6 kwa TShs 9100/= tu.
 
Mkuu TANESCO twaomba baba umutusaidie na 3phase waipunguze angarau iwe 150000/= kutoka 9120000/= kama mlivyofanya kwa single phase basi na 3phase mupunguzeee. Ni ayo tu mkuu TANESCO, Mungu awabariki.
 
Jamaa, ungekaa kimya tu, nyinyi mo nchi gani ?, mimi huku nilipo shs 10000 napata unit 28, sasa angalia usije haribu ulichonacho
Wewe upo kwa watumiaji wakubwa. Kama matumizi yako ya mwezi kwa wastani hayazidi unit 75 fuatilia Tanesco wakuingize kwa watumiaji wadogo.
 
Me mwezi uliopita nimeweka umeme kwangu ni huu wa REA,je na me naweza kuwa connected nikawa napata units hizo 70 kwa 10k?
 
Huwa nafanya hivi baada ya kuona hiyo hasara huwa nalipa tsh 5000 napata unit 41 halafu nanua tena tsh 5000 napata unit 41 jumla napata unit 82 inakuwa afadhari kuliko unit 77 kwa tsh 10,000 kwa mkupuo.
Pale swala wanapojadiliana mbinu wanazotumia kumkwepa simba...huku simba akiwasikia na kuwaona live.😅
 
Me mwezi uliopita nimeweka umeme kwangu ni huu wa REA,je na me naweza kuwa connected nikawa napata units hizo 70 kwa 10k?
Inshu sio kuwekwa tarrif 4, unapounganishiwa umeme kwa mala ya kwanza huwa wanakukopesha units 50, ambazo, zikimalizika lazima uende tanesco kununua mwingine, hapo ndio huona kuwa je hizo units umezitumia kwa muda gani?!kwani ili uwe kundi hilo ni lazima matumizi yako kwa siku yasizidi units 2.5 kwa siku, je wewe matumizi yako kwa siku ni units ngapi?jitathimini wewe kwanza?kigezo hicho unakiweza?
 
Saivi ni unit 10 tu
 
Back
Top Bottom