Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ghorofa lilikuwa na basement?Nawafikiria wale waliokuwa chini, wana hali gani kisaikolojia, unaona kabisa oxygen inaendea mwisho.
Sina hakika, ila nahisi hakuna ndio maana jamaa alikuwa anaforce kuchimba chini ili aweke frem za chini ya ghorofa, kwa mujibu wa shuhuda na mwenyeji wa eneo lile.Hilo ghorofa lilikuwa na basement?
Na CCM nao waendelee kushuka hivyo hivyo.Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa.
Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
View attachment 3153856
Hatuna Task Force ya Uokoaji bali Task Force ya Kuteka Watu hiyo ipo very effective.alafu kila siku tunajinasib eti tuna intelligence ya maana ,au viongozi wamaaana hiyo task force ya kodi je usalama kariakoo ndo bisiness center ya taifa na mambo yanafanyika kiholela holela hivyo jee sehemu nyingine vp tunaonyenshwa sign loopholes zetu zilipo kila siku ila tumekuwa wagumu kuelewa na kutake action my fellow tanzanians were lost na nchi yetu imeoza ......watanzania wenzetu wanalala chini yakifusi usiku wa leo ujinga wetu unatugharimu mungu tusaidie saidia na watu walioko chini ya kifusi wape tumaini
HIVI HUU UJENZI WA KASI YA SGR,KWELI UNAVIWANGO? MAANA KUNA MAJENGO YANAJENGWA KWA KUCHIMBA CHIIIIN KUZIDI MAJENGO YALIYOPO JIRANI NA PROJECT USALAMA UPO?alafu kila siku tunajinasib eti tuna intelligence ya maana ,au viongozi wamaaana hiyo task force ya kodi je usalama kariakoo ndo bisiness center ya taifa na mambo yanafanyika kiholela holela hivyo jee sehemu nyingine vp tunaonyenshwa sign loopholes zetu zilipo kila siku ila tumekuwa wagumu kuelewa na kutake action my fellow tanzanians were lost na nchi yetu imeoza ......watanzania wenzetu wanalala chini yakifusi usiku wa leo ujinga wetu unatugharimu mungu tusaidie saidia na watu walioko chini ya kifusi wape tumaini