Mimi nashauri serikali isiweke majengo iliyojenga kwa gharama kubwa chini ya manispaa mwanashindwa juyaangalia na kukularabati..Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
33% ndio Kasi? 😆😆
Mtu ambae hata chanjo za Watoto zilimshinda ndio angeweza nini?
Wafanyabiashara walimkimbia angepata wapi hela? 🤣🤣
Au umesikia vyuma vimekaza awamu ya Mama?
Serikali haikurupuki,Miradi sio lazima ioneshe matokeo sasa ya pesa,hata wananchi kuondolewa usumbufu wa stand za ajabu ajabu ni faidaHii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Zijengwe porini kutanua miji,sio kuweka kila kitu mjiniHakuna stendi hata moja ambayo inafanya vizuri kwanza zilijengwa maporini pili ziliwekewa majengo ya gorofa bila kuangalia kama Yana faida Kwa Sasa au mda wa kati au hapana.
Akili za kijinga kama hizi ndio zimetufikiaha hapa.Zijengwe porini kutanua miji,sio kuweka kila kitu mjini
Kuna faida ipi ikiwa majengo hayatumiki na yanazidi kuharibika?Serikali haikurupuki,Miradi sio lazima ioneshe matokeo sasa ya pesa,hata wananchi kuondolewa usumbufu wa stand za ajabu ajabu ni faida
Faida kwa serikali sio upande wa pesa tu
Kati ya serikali na wewe nani ana akili?Akili za kijinga kama hizi ndio zimetufikiaha hapa.
Aliyekwambia stendi inatanua Mji ni nani? Pande zote unazoona Miji inajengwa Kuna stendi?
Serikali inawekeza kutoa social services kwa wananchi sio kufanya biashara ili kupata faidaKuna faida ipi ikiwa majengo hayatumiki na yanazidi kuharibika?
Hiyo faida itakuja lini wakati utahitaji gharama upya ya renovation? Kulikiwa na haja gani ya kujenga Majengo ambayo hayatatumika Kwa miaka mingi?
Akili za hovyo na za wajinga walioshika madaraka.
Social services gani hapo kwenye empty coffers? Ndio kipaombele chwananchi ? Huna akiliSerikali inawekeza kutoa social services kwa wananchi sio kufanya biashara ili kupata faida
Wewe ni mwehu uliekubuhu,akili yako haina akiliSocial services gani hapo kwenye empty coffers? Ndio kipaombele chwananchi ? Huna akili
Unadhani zote zitajaa? Issue ya usimamizi ndo tatizo! Magufuli hapo stendi kuna mpaka maeneo ya service na garage!Nzega
Songea
Katesh
Na zingine zaidi ya 10 zinaendelea na ujenzi Mbeya,Kahama,Tabora nk
Yale ni maono ya mbali!...Hii aliipeleka mbali sanaa, ndo alipo kosea marehemu
Wanataka stendi ijae wakati hata majengo tu hapo mjini hayana watu! TPA towe,NSSSF Tower na majengo mengine hayana wapangaji!Yale ni maono ya mbali!...
Subiri baada ya miaka 10 kote huko watu watajaa
Ni mtu mjinga tu anayepinga miradi unataka mambo yawe kama awamu hii watu wanapiga pesa ovyoovyo.Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
for sure .. niliwai zunguka stend nzima khaa yani hakuna biashara zozote zinaendelea kwenye yale majengoUkweli mtupu. Njoo stendi ya Dodoma (nane nane) nikichekesho tu
Awamu ya 6 imejenga nini?Nchi jirani au hata awamu ya 6
Ndio hasara ya kuwa na mtu asiyeshaurika na asieleqa uchumi,mwenye mihemko,mpenda sifa na mkurupukaji.
Kiufupi maamuzi yake yataitesa sana hii Nchi Kwa miaka Mingi.
Shida za ajira mnazoona Sasa msingi wake ni awamu