Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini

Are these cursed bitches not in custody yet ..!??

Where is the POLICE!???
Najiuliza kama wewe, au ni wanachama waccm? Maana kuna yule mkaa uchi alifungiwa na basata lakini alivyokuwa na ccm kwenye kampeni basata wakasanda
 
Laana zingine za kujitafutia,mwanamke anaeweza kuwa na mtoto kama wewe,unawezaje kumtukana namna hii,usipo fanikiwa unamlalamikia Mungu,kumbe SBB ni wewe mwenyewe.
 
Mbona Yale machupi yake siyaoni!
 
Daaah ila anazid kupungua tu ....sio bure huyu Gigy .....waliotembea nae wakapime Rapid Test .
 
Maisha ya kuiga
Kumbe ulikuwa huwajuwi hawa?! Wote wako hivi, wachache ni kweli wamepanchi na wanaishi maisha wastani, ni kuiga na kuigiza mtindo mmoja, sishangai hata kidogo..Ila inasikitisha na kwa kulaghai watu kwenye mapicha Instagram na Facebook, kuna siku niliona anapokaa Sanchi na wazazi wake nilipigwa butwaa...Wanawalaghai watoto wetu wa kike hawa..
 
Asijekuishia kama yule...jini kabula
 
Hivi wasanii wetu mtaacha lini kuishi kwa KIK,na kujionesha matawi ya juu kumbe choka mbaya, Gigy wewe wakusema unanumua nywele za mill.6 lakini nyumbani unayokaa ndio hii hata 20,000 haizidi per month,Ona sasa umehamia sehemu duni lakini pia umekosa nidhamu kwa mwenyeji wako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Katika post zake sijawahi ona home kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…