Apigwe tu ze duduz maana hamna namnagigy money bado anaendeleza uchizi wake ndani ya mwanza car wash party baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "nampa papa". Shughuli anazofanya gigy kama msanii Basata itabidi walivalie njuga.
Nenda nchi za waarabu kafanye vile uoneWe inadhani mtu anafungwa kizembe namna hiyo?
Kwanini aende arabunNenda nchi za waarabu kafanye vile uone
Nenda nchi za waarabu kafanye vile uone
Akajue jinsi maadili yanavyozingatiwa, lKwanini aende arabun
So kuabudu, in short waarabu wako vizuri kwenye jambo la maadili kuzidi sisi wakurupukajiKwani waarabu ndio nani? We unafikiri watu wote tunaabudu waarabu kama Wapemba.
huyu hatumfungii sisi tunawafungia watu kama akina Romagigy money bado anaendeleza uchizi wake ndani ya mwanza car wash party baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "nampa papa". Shughuli anazofanya gigy kama msanii Basata itabidi walivalie njuga.
So kuabudu, in short waarabu wako vizuri kwenye jambo la maadili kuzidi sisi wakurupukaji