Gigy Money afanya balaa Mwanza Car Wash Party

Gigy Money afanya balaa Mwanza Car Wash Party

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Gigy Money bado anaendeleza uchizi wake ndani ya Mwanza car wash party baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "nampa papa". Shughuli anazofanya Gigy kama msanii BASATA itabidi walivalie njuga.
 
Kila m2 chini ya jua anazo namna zake za kujitafutia riziki ili mradi tu hamdhuru mtu
 
gigy money bado anaendeleza uchizi wake ndani ya mwanza car wash party baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "nampa papa". Shughuli anazofanya gigy kama msanii Basata itabidi walivalie njuga.

huyu hatumfungii sisi tunawafungia watu kama akina Roma
 
So kuabudu, in short waarabu wako vizuri kwenye jambo la maadili kuzidi sisi wakurupukaji


Sio lazima tufuate maadili ya waarabu, sisi ni waafrika tuna maisha na taratibu zetu. Anyway, hukatazwi kuhamia Afghanistan.
 
At her age she got out there and took some major bumps! Like the time the Dudley's power bombed her off the stage! R.I.P
 
Back
Top Bottom