Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
kweli vyuma vimekaza ila wanapambana visiendelee kukaza. Sema hana uzee wa hivyoooo basi tu katumika sana hapa mjini.ha ha ha watatuua jaman hivi vibabu visivyotaka kuzeeekaa#vyumavimekaza#
ahaaaaa,......kumbe Trump naye ni mzee wa kuloa nanga.Wanawake mnaochangia hapa mmekosa kufahamu kwamba
Trump alichomeka vidole hadharani lakini hii haimfanyi asiwe baba,raisi bora
Afu atamsingizia shetani alimpitia. ..Unampaje lift, mtu kavaa kichupi .[emoji16][emoji16] aibu tu. Loh. Wanaume wanakazi
Aiseee hapo kwa mtoto ndio balaa, sijui unaanzaje kumwomba akusamehe baba yake kwa kukengeuka.. Lakini kiafrika mtoto wala hawezi kuhoji atabaki tu anajifia na maumivu yake. Upendo unasomwa nyumbani, watoto wengi wanaokulia kwenye familia zenye misukosuko ya kindoa huwa nao mbeleni hawaamini kama watu wanaweza kutulia kwenye ndoa na maisha yao yote wanakuwa ni watu wa kutanga tanga tu kwenye masuala ya mapenzi..ila aisee sisi wazazi tunakuwaga selfish sana.
hivi huwaga tunajiuliza kama tuyafanyayo yanawaathiri watoto wetu ama laa??
mke utalazimika kuvumilia manake tayari una watoto, mume hivi utaomba msamaha kwa mke mtoto je utamwambiaje?
huo muda wa kufanya haya na huyo mtu si ungekuwa na mwanao masai mara mnakula raha?
hapo ukute mama naye alikuwa kwa mchepuko. mtoto nickelodean ama boomering ikamuhusu siku nzima huku akipata matusi ya reja reja kwa dada wa kazi. mweehh
Nimeona kaomba msamaha. Yaani sikumtegemea kabisa Hahaaa. Ameomba msamaha kwa acount yake ya instagramAfu atamsingizia shetani alimpitia. ..
very wise question my dear!Nimekuelewa vizuri sana, na najua Jack akisimama na Mungu, kila kitu kitafanyika kuwa kipya kwenye ndoa yao. Ila swali langu ni moja tu, yeye msando muda huu awe anafanya nini while mke yupo busy na kuomba? Siongelei haki sawa maana naelewa ndoa nyingi zinashikiliwa na wake, mke akisema basi na ndoa basi + huwezi kushindana na mpumbavu. Nachomaanisha ni hiki, yeye msando hana cha kufanya kuirudisha ndoa yake kwenye mstari? Hasikii aibu wala kuumia anavyoidhalilisha familia yake?
Ndoa zimekuwa kama project prayers kwa wanawake while men are busy doing their shits huko nje. Ain't a man supposed to be his family's prayer warrior? Mbona tunawatreat wanaume as if hawana vitu vyema vya kufanya kwa ajili ya kulinda ndoa zao? This is exactly our sons watakavyokuja kubehave na wake zao, na ni kwa sababu tumewalea hivyo, wao kazi yao ni kuprovide tu. Mwanaume fanya utakavyo, mkeo will clean the mess. Ukute mwanaume anayeiombea familia yake, mmmmh wachache mno. Unfortunately kwenye kuchagua mume tunaangalia mavigezo yetu tu ya kimwili, vya kiroho tunaviignore afu baadaye ndo wa kwanza kulia. I think it's high time tukabadilisha hii misingi mibovu ya ndoa kupitia malezi kwa watoto wetu since wakiwa wadogo. Otherwise mmh
Aisee mwanamke wa hivi noma Sana anakuharibia sasa hivi.Gigy ukimla ni kimya kwa siri yaani shaa.Manake akiliwa lazma aseme
Asnte mdau nimeona kaclipuuuSidhani kama mitungi iliopitiliza huwa ina ustaarabu Wakili Msando na Gigy Money
dah!!Aiseee hapo kwa mtoto ndio balaa, sijui unaanzaje kumwomba akusamehe baba yake kwa kukengeuka.. Lakini kiafrika mtoto wala hawezi kuhoji atabaki tu anajifia na maumivu yake. Upendo unasomwa nyumbani, watoto wengi wanaokulia kwenye familia zenye misukosuko ya kindoa huwa nao mbeleni hawaamini kama watu wanaweza kutulia kwenye ndoa na maisha yao yote wanakuwa ni watu wa kutanga tanga tu kwenye masuala ya mapenzi..
Atapataje kiki ili maisha yaendelee mjini??wakati anaishi kwa kikiAisee mwanamke wa hivi noma Sana anakuharibia sasa hivi.
hehehehehe niliona post yako ukitulaumu na dili za bar... Ila kiukweli mwanaume asikudanganye kila siku yupo bar alafu anakwambia eti ndio napata dili huko.. Lakini ndio hivyo wenyewe mnajisemea kama ulivyosema "afanye tu ila mi nisijue, aneheshimu tu".. Naamini hata Msando anamuheshimu mke wake, ila hii ni ajali tuWasalimie huko. Wanawake wengi ni "afanye tu ila me nisijue, aniheshimu tu", teh tunaogopa vivuli vyao. Na sijui ni heshima gani tunayoitaka
makuzi ya watoto yako ivi, ukiwalea watoto toka udogoni kwamba kusali ni jkumu letu, na hofu ya Mungu ikajaa mioyoni mwao watoto hawa wakakua katika misingi iyo iyo na ukawanyima kabisa nafasi ya kuharinu imani yao, hata wakiwa ni wa kiume watasimama kuombea familia zao. ikiwa mtoto hajakuzwa ivyo usitegemee atajianzia tuu. kuna gharama za kulipa tena nyingi sana..
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Ajali kazini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hehehehehe niliona post yako ukitulaumu na dili za bar... Ila kiukweli mwanaume asikudanganye kila siku yupo bar alafu anakwambia eti ndio napata dili huko.. Lakini ndio hivyo wenyewe mnajisemea kama ulivyosema "afanye tu ila mi nisijue, aneheshimu tu".. Naamini hata Msando anamuheshimu mke wake, ila hii ni ajali tu