Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
msamaha. Com.
Hana hata wasiwasi
ni sawa kweli sote tu binadamu na huwa tunakosea.
ila je msamaha huu unaoomba unaomba ili tu isemekane kwamba umeomba ama unamaanisha?
kwa mashabiki zao/followers kwenye page yako sidhan kama hata wana sabb ya kuombwa msamaha.
msamaha kamuombe kwanza Jack tena kwa kumaanisha, kisha umuombe na kido wako hao umewakosea sana na ndio watu wa inner circle yako. sisi wengine ni marafiki lkn we dont care what you do thats your life. ila kuna unaoshea maisha hao kawaangukie sana sana.

umewaumiza sana, hata uandikeje maumivu yake hayabebeki. nimewaza kama mke (not to u) na kama mtoto wako ambavyo anawaza sasa hivi.

jambo jingine hebu kaa na that lito boy try to learn kama kawa bullied kwa sabb ya hii video knowing mashulen yanayotokea ni zaidi ya mnavyofikir. usidharau hili. na ikiwa ndio try to make it right on spot. asiendelee kuumia zaidi.

gheeeee nimekujibu utafkir naongea na Betho mweeeh!!
 
WOW... Mumeo ni kati ya wanaume wenye bahati sana maishani..
 
Sahihisho; Trump hakufanya kitu bali alitoa maneno ambayo hayakuwa na staha, he did nothing wrong but those were just words buddy labda Clinton huyo ndio alimaliza game kabisa
 
Kuna video went viral online trump yuko na street dancers anawatia vidole huku wamesimama
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] mimejikuta yananiingia utafikiri ndo mimi alibert
 
Likely tayari Gigy atakuwa kaanza kufuatwa na wanasheria maadui wa Msando wakimtaka a file case.. Si kitu cha kushangaza.. Ni wakati huu Msando anatakiwa kuwa karibu zaidi na familia yake ili hata hayo yakitokea familia iwe nae bega kwa bega..
 

Ujue hamjui tu wababa mna nafasi gani katika malezi ya watoto wenu. Nyie mnajuaga tu kuprovide basi. Huo muda wa bar mngekuwa mnatulia home mnawasaidia watoto wenu homework, mnakula wote, mnaomba nao, then wanaenda kulala mapema, daah sijui tungekuwa na generation ya aina gani hapo baadaye. Ila ukisema tu utaambiwa "uache kuangalia movie za kifilipino" au "baba ako alikuwa anakufanyia hivyo". Mtu kila siku bar, narefresh mind sijui utadhani wake zenu wao mind zao zimekufa, bado watu hao hao unaoshinda nao bar ndo mna group wasap, Abeg ni madili gani hayo mnayopeana kila siku? Upite bar ukute meza ya wanaume bila kamchepuko hata kamoja mmmmh

Wee wanawake tumejikatia tamaa na hizi ndoa, basi tu ndo tangu tumboni tuliambiwa kuolewa ni heshima, tutafanyaje sasa. Ukikuta mke wa ndoa anaongea kwa maumivu huyo unajisemea tu "Yehova". Hizo heshima za design zenu me zinishindwe kabisa IJN
 
iko hivi, hakuna aliye malaika hata Jack sio malaika.
ila sasa akitaka kuondoa hili jinamizi kwenye ndoa yake lazima Jack arudi magotini tuu hana jinsi.

may be wengi wetu hatukupata makauzi ya hofu ya Mungu, na hii ndio sabb leo hii ndoa nyingi zinapita pagumu. je huni kwamba tuinayo kila sababu ya kurekebisha ndoa zetu leo ili kuruhusu watoto wetu walelewe kwenye misingi ya hofu ya Mungu. na wao waje kuwa na maisha bora zaidi ya tuliyo nayo?

Jack anatakiwa awe chumvi sasa ili kuleta ladha manake akiharibika yy sijui iyo ndoa itatiwa nini tena
 
Mungu pekee ndio atamjudge. Kakosa kadogo sana hako...tatizo ni vile imeleak!
.
.
Wangapi hapa mnaheshimika majumbani kwenu na makazini kwenu lakini ndani ya mioyo yenu mmejaa midhambi kuliko ya huyo alberto?
.
.
Kosa moja lisifunike mazuri yake mengine. Kumpapasa giggy kuna madhara gani kwa taifa? Atajibu kwa mkewe.
Giggy ni malaya kama malaya wengine. Na alberto ni mteja kama wateja wengine (wengi tu wapo humu), hata waheshimiwa ndio zao hizo. So stop judging..tuumize kichwa kufufua Tanzania ya viwanda!
 
I agreed with you kuhusu Jack, that's the only option so far. Ila nilitaka tufike hapa pa kuona kumbe tunatakiwa tufanye kitu juu ya malezi ya watoto wetu. Watoto wanavyoviona kwetu sisi wazazi wao ndo mara nyingi wanaamini ni sahihi. Kwa hiyo ni lazima turekebishe misingi yetu, japo sio guarantee kuwa watoto watakuwa exactly kama tulivyowalea, maana haya maisha mi kwa neema ya Mungu tu. But still Naamini "mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee". Sisi ndo tuwe mfano bora kwa wanetu
 
Japo Jack sio Malaika lakini sio mchafu kama wakili msomi full stop
 
Likely tayari Gigy atakuwa kaanza kufuatwa na wanasheria maadui wa Msando wakimtaka a file case.. Si kitu cha kushangaza.. Ni wakati huu Msando anatakiwa kuwa karibu zaidi na familia yake ili hata hayo yakitokea familia iwe nae bega kwa bega..
yaani umewaza exactly kama nilivyokuwa nawaza. ila namuomba sana Jack japo linauma asijikute anapata waalimu wa mtaani wa kumtoa kwenye pendo la familia yake.

najua wapo tena ambao wanataka kuona anamalizika kisiasa, kisheria na kila kitu.............
 
You nailed it madam.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…