Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

Picha ya gigi money tafadhali
Mkuu,baada ya kufatilia picha na video akiwa hospital nimeanza kuhisi ni drama na kutaka kuchukua attention,hivyo tuwe Makini sana nahisi ni kiki zake za kijinga..nitaweka video hapa akiwa hospitali
 
Hata kama ni kiki ila Kuna namna mkondo wa umeme umezidi kiwango Cha nahitaji na matumizi
 

Attachments

  • nivurugenikuvuruge-20250620-0001.mp4
    406.2 KB
Chawa wakamsaidie cha wote wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…