jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Kama wanavyomnanga Kanye West na mkewe!Huyo Gigy ni mtu mzima.
Mwacheni aishi maisha yake.
Kwa nini mnajali sana maisha ya watu wengine? Hamna maisha yenu?
Huyo dada ni mtu mzima. Mwili ni wake.
Akiamua kuuuza, hilo ni jambo lake.
Fair exchange ain’t robbery!!
Leave her alone.
Mbaya sana sana. Haituhusu