Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Huyo Gigy ni mtu mzima.

Mwacheni aishi maisha yake.

Kwa nini mnajali sana maisha ya watu wengine? Hamna maisha yenu?

Huyo dada ni mtu mzima. Mwili ni wake.

Akiamua kuuuza, hilo ni jambo lake.

Fair exchange ain’t robbery!!

Leave her alone.
Kama wanavyomnanga Kanye West na mkewe!
Mbaya sana sana. Haituhusu
 
Gigy na AmberLulu wakamshtaki yule mjinga kwa kuwarekodi na kuvujisha videos zao, kuliko kujifanya wapo sawa,
Lakini na hao wasichana wazingatie kuna VVU, Magonjwa mengine ya zinaa na Homa ya Ini

Gigy hapo anafurahia sana na ana safari ya cananda chezea et anatishia kujiua anatafuta tu huruma na basata
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Gigy amesema ananipa PAPA
 
Back
Top Bottom