Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Gigy money ameonekana mara nyingi akimponda Alikiba nakudhihirisha zahiri kuwa yeye ni fan number one wa Diamond Platinumz, ila inasemekana kuwa Alikiba pamoja na mdogo wake aitwaye Abdukiba walishapita kimapenzi na msichana huyu Gigy Money.

KWA MUJIBU WA GIGY MONEY ANADAI PAPA NI KALI KULIKO SEDUCE ME. ANADAI KILICHOMBEBA KINGKIBA NI KUWA MSANII MKUBWA NA KUKAA KWA MUDA MREFU BILA KUTOA NGOMA.
JE, WEWE UNAONAJE?? MSIKILIZE VIZURI THEN DROP COMMENT YAKO

Tukiacha ushabiki na ukongwe na overrate nk....
tukashindanisha seduce me vs Papa

Papa ya Gigy ni wimbo mkali jamani...
kwanzia Melody ,video mashairi
wimbo umesimama kwakweli.
unaeza sikiliza papa kutwa nzima ,seduce me ina overrat-iwa tu lakini sio wimbo mkali kabisa.

mnyonge mnyongeni jamani pamoja na mapungufu yake mengi ya kibinaadamu ila Sangara,kibua kama kuna mtu alimtungia aendelee WIMBO MKALI SANAAA
 
Jamani Seduce me Vs PAPA !
 
E="Mchizi, post: 23805499, member: 15298"]Usifananishe papa na vitu vya kijinga[/QUOTE]
Si bure utakua umevuta cha arusha
 
Nampaa nampaa nampaaa,nampa papa....
Ina maana babu wa kariakoo ameishiwa kiasi hiki cha kufananishwa na gig money???!!!
 
Aiseee, basi na yeye asitoe ngoma kwa kipindi kirefu
 
Nampa Papa hata Hallelujah ya domo haiingii ,kiufupi ndo wimbo unaokimbiza sehemu zote za starehe ukipigwa tu shangwe zinaibuka
 
Shida yake tukausikilze ili tuulinganishe na seduce me huku awe anapata views.
 
Nampaa nampaa nampaaa,nampa papa....
Ina maana babu wa kariakoo ameishiwa kiasi hiki cha kufananishwa na gig money???!!!
Zama mkuu zimepita!anafanya kazi kimazoea tuh!mazoea ayo yanamfanya abaki mjini!
 
Back
Top Bottom