Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Nyimbo ya gigy kwa wanaume ngumu kuimba 7bu unampaje papa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiri ni mimi tu nimekuwa addicted, ila kwenye youtube nimeview seduce mara zisizozidi tatu ili hali papa nimeshaview zaidi ya mara kumi hivi.Tukiacha ushabiki na ukongwe na overrate nk....
tukashindanisha seduce me vs Papa
Papa ya Gigy ni wimbo mkali jamani...
kwanzia Melody ,video mashairi
wimbo umesimama kwakweli.
unaeza sikiliza papa kutwa nzima ,seduce me ina overrat-iwa tu lakini sio wimbo mkali kabisa.
mnyonge mnyongeni jamani pamoja na mapungufu yake mengi ya kibinaadamu ila Sangara,kibua kama kuna mtu alimtungia aendelee WIMBO MKALI SANAAA
ukunga[emoji23] [emoji23]Nilifikiri ni mimi tu nimekuwa addicted, ila kwenye youtube nimeview seduce mara zisizozidi tatu ili hali papa nimeshaview zaidi ya mara kumi hivi.
Ila kuna tatizo moja, juzi kati nimeangalia live show aliyofanya Gigy, sijui Tanga kule...duh mpaka nikajuta kwa nini nimetafuta matatizo.
Yaani ikawa kama umemfukuzia Mtoto mkali kwa miaka kadhaa, siku moja unaamua kujilipua umwambie ya moyoni, unamuona anapita anaenda sokoni unamfuata mdogomdogo, unafika sokoni unamkuta chobisi anashikwashikwa makalio na muuza genge huku yeye akichekelea...unaweza ukapiga ukunga kama umefiwa vile.