Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wimbo mkali sana ila haufai kuimbwa na kidume.Tukiacha ushabiki na ukongwe na overrate nk....
tukashindanisha seduce me vs Papa
Papa ya Gigy ni wimbo mkali jamani...
kwanzia Melody ,video mashairi
wimbo umesimama kwakweli.
unaeza sikiliza papa kutwa nzima ,seduce me ina overrat-iwa tu lakini sio wimbo mkali kabisa.
mnyonge mnyongeni jamani pamoja na mapungufu yake mengi ya kibinaadamu ila Sangara,kibua kama kuna mtu alimtungia aendelee WIMBO MKALI SANAAA