Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

ALIKIBA KING WA MUSIC WA BONGO INASEMEKANA LAKINI!
 
Tukiacha ushabiki na ukongwe na overrate nk....
tukashindanisha seduce me vs Papa

Papa ya Gigy ni wimbo mkali jamani...
kwanzia Melody ,video mashairi
wimbo umesimama kwakweli.
unaeza sikiliza papa kutwa nzima ,seduce me ina overrat-iwa tu lakini sio wimbo mkali kabisa.

mnyonge mnyongeni jamani pamoja na mapungufu yake mengi ya kibinaadamu ila Sangara,kibua kama kuna mtu alimtungia aendelee WIMBO MKALI SANAAA[/QUOTE

well said mkuu...... kula makandee hapo gengeni nakuja lipia mkuu....
 
Ukilema wa kichwa ni mbaya kuliko ukilema mwingine wowote
 
Tukiacha ushabiki na ukongwe na overrate nk....
tukashindanisha seduce me vs Papa

Papa ya Gigy ni wimbo mkali jamani...
kwanzia Melody ,video mashairi
wimbo umesimama kwakweli.
unaeza sikiliza papa kutwa nzima ,seduce me ina overrat-iwa tu lakini sio wimbo mkali kabisa.

mnyonge mnyongeni jamani pamoja na mapungufu yake mengi ya kibinaadamu ila Sangara,kibua kama kuna mtu alimtungia aendelee WIMBO MKALI SANAAA
Team uchi
 
Seduce me kuishindanisha na nyimbo za ajabu ajabu ni dharau ya kiwango cha lami?
 
Gigy money ameonekana mara nyingi akimponda Alikiba nakudhihirisha zahiri kuwa yeye ni fan number one wa Diamond Platinumz, ila inasemekana kuwa Alikiba pamoja na mdogo wake aitwaye Abdukiba walishapita kimapenzi na msichana huyu Gigy Money.

KWA MUJIBU WA GIGY MONEY ANADAI PAPA NI KALI KULIKO SEDUCE ME. ANADAI KILICHOMBEBA KINGKIBA NI KUWA MSANII MKUBWA NA KUKAA KWA MUDA MREFU BILA KUTOA NGOMA.
JE, WEWE UNAONAJE?? MSIKILIZE VIZURI THEN DROP COMMENT YAKO


Diamond inabidi awe makini sana na huyu gigy .

Nahisi Gigy ameshamuendea mpaka kwa mganga diamond ili amnase.
 
Back
Top Bottom