Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

Tofautisha kukaa na wazazi na kuishi na wazazi..kipi kinakupa uhakika kuwa naish na wazazi?


I don't care, niko home kwangu nacheza wimbo wowote au film yoyote ninayojisikia. Sasa yeye bado yupo kwa mamaake ndio maana hawezi kupiga huu wimbo, he better read a book or something.
 
Papa mzur sana leo nmeuskiliza siku nzima ni kweli anachosema gigy ni vle watu huwa wanamdharau bas na.nyimbo zake wanazidharau
 
Haha ha ha haa...

Watu mnamatusi ..

Yani PAPA vs KING..

Acheni dharau.
 
Wimbo wa papa naupenda maana kila nikiuskia mgegedo unasimama balaa
 
Unakuta mwanaume kabisaa amekazana anaimba nampa papa! Sijui papa gani
 
Ambalulu alipotoa ule wimbo wa Watakoma alimfunika Gigy money ,naona nae Gigymoney kajibu mapigo vizuri kwa hili dude la Papa .

Wasanii wa kike msiwadharau Hawa Gigy na Ambalulu wanaonekana wananyota ya kutoa hit songs .Kila kona ni Papa tu hakuna cha Nandy wala Vanessa .Ila wadada wamejua kuwafunika kabisa Shilole na Snura hahahah
 
Tukiacha ushabiki na ukongwe na overrate nk....
tukashindanisha seduce me vs Papa

Papa ya Gigy ni wimbo mkali jamani...
kwanzia Melody ,video mashairi
wimbo umesimama kwakweli.
unaeza sikiliza papa kutwa nzima ,seduce me ina overrat-iwa tu lakini sio wimbo mkali kabisa.

mnyonge mnyongeni jamani pamoja na mapungufu yake mengi ya kibinaadamu ila Sangara,kibua kama kuna mtu alimtungia aendelee WIMBO MKALI SANAAA
Ivi nyie mpo siriaz au mnatania
 
Mtakua mnatania tu.
Yan mtoto wa kiume unaimba nampa papa
Siriaz [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
hahahaaaa..wakati mwingine unashindwa ukomenti nini

nabaki nacheka tu
 
Sasa huo wimbo wa PaPa ukikaa na wazaz au watu wanaojiheshimu utaweza kusikiliza kweli..seduce me kila rika wanasikiliza
Kumbe mmmnh nlkuwa cjui ila cc tunauangalia una maadili tyu au tuna macho ya tofaut maana basata wangefungia
 
Back
Top Bottom