Jamani Seduce me Vs PAPA !Tukiacha ushabiki na ukongwe na overrate nk....
tukashindanisha seduce me vs Papa
Papa ya Gigy ni wimbo mkali jamani...
kwanzia Melody ,video mashairi
wimbo umesimama kwakweli.
unaeza sikiliza papa kutwa nzima ,seduce me ina overrat-iwa tu lakini sio wimbo mkali kabisa.
mnyonge mnyongeni jamani pamoja na mapungufu yake mengi ya kibinaadamu ila Sangara,kibua kama kuna mtu alimtungia aendelee WIMBO MKALI SANAAA
Zama mkuu zimepita!anafanya kazi kimazoea tuh!mazoea ayo yanamfanya abaki mjini!Nampaa nampaa nampaaa,nampa papa....
Ina maana babu wa kariakoo ameishiwa kiasi hiki cha kufananishwa na gig money???!!!