Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

Wimbo mkali sana ila haufai kuimbwa na kidume.
 
Wimbo wa papa ni mzuri kwa sababu tatu

1.Beat Kali
2.maana yake imekaa kingono na watz tunavyoipenda hahaaaa
3. Jamaa aliyeimba kibwagizo ameipa uhai

Video sio Kali kiivyo aseee

Ila seduce me ni wimbo mkali kwa beat , sauti , chorus ,video ila ina mashairi mepesi lakini ndo vile nyimbo za kiplay boy huwa

Mwisho wa siku gigy amejitahidi sana maana at least kapata hit song moja
 
Naunga mkono hoja
 
wewe nikikuomba papa utanipa?? hahaha

[HASHTAG]#Utani[/HASHTAG]
 
Kiukweli kabisaa tukiachana na mambo ya u-team, PAPA ni ngoma Kali mnooooo domo na king wote hawatii mguu
 
Kitu PAPAAAAAAA.
wanasemaga anapenda sana samaki we mpatieee
Nampa papaaaaa

Sangara kibua haitoshi we mpatieee
Nampa papaaaa.
 
Sasa huo wimbo wa PaPa ukikaa na wazaz au watu wanaojiheshimu utaweza kusikiliza kweli..seduce me kila rika wanasikiliza


By the way, mimi ninajiheshimu sana lakini bado naupenda huu wimbo. Halafu, sio watu wote bado wanaishi kwa wazazi kama wewe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naimani unatania mkuu..ah ah ah
 
By the way, mimi ninajiheshimu sana lakini bado naupenda huu wimbo. Halafu, sio watu wote bado wanaishi kwa wazazi kama wewe.
Tofautisha kukaa na wazazi na kuishi na wazazi..kipi kinakupa uhakika kuwa naish na wazazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…