Gigy Money asema wimbo wake wa Papa zaidi ya Seduce me ya Alikiba

Hivi mashindano ya zilipendwa na seduce me... Nan alishinda maana nlipotea mtandaon
 
Nilifikiri ni mimi tu nimekuwa addicted, ila kwenye youtube nimeview seduce mara zisizozidi tatu ili hali papa nimeshaview zaidi ya mara kumi hivi.

Ila kuna tatizo moja, juzi kati nimeangalia live show aliyofanya Gigy, sijui Tanga kule...duh mpaka nikajuta kwa nini nimetafuta matatizo.

Yaani ikawa kama umemfukuzia Mtoto mkali kwa miaka kadhaa, siku moja unaamua kujilipua umwambie ya moyoni, unamuona anapita anaenda sokoni unamfuata mdogomdogo, unafika sokoni unamkuta chobisi anashikwashikwa makalio na muuza genge huku yeye akichekelea...unaweza ukapiga ukunga kama umefiwa vile.
 
ukunga[emoji23] [emoji23]

na papa ndo inamfanya gigy apate show kila siku ,nowdays
 
Papa ni wimbo mkali kwakweli, aliuotea kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…