Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Anajua kutumia fursa,kawekeza kwenye io mbunyee hatare
 
500,000/= per day [emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50],kama kweli aisee akafanye shopping kwanza sio kutuvalia michupi yake ka fuko la mashine....amuoni Vera mwenzie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maskini namuonea huruma huyu binti kuna siku akikumbuka haya aliyoyasema atajilaumu sana! Hivi anafikiri maisha ni leo! ? Awaulize kina miss Kilonzo Dokii n the like
 
wa kinukta siku hizi hauzi...ila msela alimlamba kwa laki nne
Nlishawahigi kusikia dau lake ndiyo hilo walau umenithibitishia. Y kaacha biashara kama ilikuwa inamuingizia kipato kizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…