Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]ndio
Mhhhhh! Laki tano kila siku! Ukipanda dau mzigo unachukua. Laki tano! Laki tano!
Wajemeni hapa nanunua nini?
sasa kama shule hamna unapataje ustaa kama hujagegedwa na wasanii nakujitangazaHivi ustaa ni ngono tu !
Maskini namuonea huruma huyu binti kuna siku akikumbuka haya aliyoyasema atajilaumu sana! Hivi anafikiri maisha ni leo! ? Awaulize kina miss Kilonzo Dokii n the likeMsanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.
Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Kwa kipato hiki hiki cha Clouds Media!Labda ndio anaehonga nusu M kila siku
Magu aingilie kati aisee! si mwisho milioni 10 kulipwa kwa mwezi!Huyu gigi pesa nae ni jipu!Laki tano kila siku, kwa mwezi anakunja 15m kwa kutoa hiyo papua tu?
Haya
wa kinukta siku hizi hauzi...ila msela alimlamba kwa laki nneBasi hapo fresh... Dalali wake ni yule aliyedinda nini?
Tupe na rate ya yule mwenye kinukta
Nlishawahigi kusikia dau lake ndiyo hilo walau umenithibitishia. Y kaacha biashara kama ilikuwa inamuingizia kipato kizuri?wa kinukta siku hizi hauzi...ila msela alimlamba kwa laki nne
Mama yake Gigy atakuwa ameshalia na sasa amenyanyua mikono juu.
Hapa sijaelewa mkuu, unamaanisha niniAsiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.