Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tulipewa elfu 50 ya kula na waziri, bwana wewe, ungetuona kina kiuchifu. Aibu utaona wewe. Watu mada yote, baba yetu ni waziri. Oh, nimefurahi waziri kanitambua. 50,000 mnaona ndogo nyinyiβ¦β
βWewe Katambi, huyu ndiyo baba yetu. Katambi baba kapendeza kwenye suti. Baba, ah! Baba ana roho. Huyu kanyooka kama sura yake. Waziri jamaniβ¦β
Uongo anasema sana tuHuyu demu angejua asingemwita uwa hana siri na wala hajui kusema uongo, haya kalitoa
Wewe tulia hukoUongo anasema sana tu
Karande hukoWewe tulia huko
Katambi mwenyewe unamwona yuko sawa sawa? Mtu alokuwa anapaza sauti kudai watu kutekwa juzi tu hapa! sasa ivi kaenda huko kawa kama hajui lolote! sasa sijui watu waliotekwa wameshapatikana au vipi?Gigy ni shindikana angemwacha tu