Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

Sawa ni yake kweli Nina nafasi ya kuishika lakini why akatae anaficha Nini? Na yangu anashika?
Kama yake hataki basi na yako asishike period

Lakini pili hivi unaamini hata ukishika simu yake ndio kuna mabaya utazuia?

Ni hivi mtu akiamua kuwa mshenzi anakuwa mshenzi na hata simu anakuwaachia wiki nzima,na bado anafanya yake

Tatu ,wakati mwingine unazuiwa kuyaona yatakayo kukera,je anakuheshimu? Kama jibu ndio basi usitafute yatakayo kuuzi
 
Umemua
Au umemtolea mahali ana umepewa baraka na WAZAZI wake muishi

Ama kama sivyo mnakutanisha tu VIKOJOLEO vyenu wewe ukihisi misuli ya uuume imekaza na yeye akitaka ELA anakuja kuumiza SEHEMU ZAKE ZA SIRI kwa kuunganisha kukijoleo chake na chako mpaka misuli ya uuume wako ikisinyaa basi endeleeni ti hvyohvyo

Ama km unataka kushika simu Yako ambayo utakuwa umempa wewe
Mwambie hiyo yakr auze then wewe kanunue IPHONE 14 pro max au SAMSUNG GALAXY S24 Kisha mpatie hapo sasa atakuruhusu/ utaruhusiwa kushika simu yake na kukaa nayo muda wowote ule
Sawa KIJANA WANGU
 
Sawa kiongozi 🫑
 
Nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…