Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

Sasa kwani ni simu yako??? Kama picha si uangalie zako.
 
Mpaka hapo hujui nini cha kufanya?
Acha gubu.

We mwenyewe unamkuka tu baadae umwache. Unadhani kuna mtu hapendi future?
 
Simu niya mezani au yamkononi? Mimi mwenyewe kwenye mahusiano mpaka ndo simu ya mwenzangu sigusi Wala yangu hagusi kwenye simu Kuna Siri za mtu kaweka humo.
Usimnyime mtu Uhuru na simu yake Kama humuamini tafuta mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…