HakikaBody language inaonesha yuko kwenye pressure kubwa asiyoweza kuhimili
Hivi karma kweli inafanyakazi?Salaam, Shalom!!
Nchini petu tangu lini imewahi Kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu Kisha kumfunga mtu na kuondoka naye Kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi Cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Sasa hiyo ni pressure ya kujitakia,Body language inaonesha yuko kwenye pressure kubwa asiyoweza kuhimili
Hilo ni jukumu la jamii, jamii iliyo nyamaza, (kaa kimya), huwa haijuhusishi na maswala kijamii, silence surrenders public responsibilities, jamii ya bora liendeSasa hiyo ni pressure ya kujitakia,
Kipi Rahisi, kumfuata KAZI IGP, Waziri Masauni au kuwaacha Ofisini uongozi wake , chama chake, viendelee kuonyesha vidole?
Sasa IGP Wambura ajichunguze vp ilhali Yeye ni mtuhumiwa Kwa nafasi yake?Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha marehemu Mzee Kibao itatoka lini??..maana siku zimetaradadiii..isije kuwa kama ile ripoti ya Ntwaraa!
Mbaya zaidi walikuja kama watu wa Amani wakamfunga pingu, watu wakajua anapelekwa mahakamani,Nilisikitika sana Mhe. alipolinganisha kuuwawa kwa Kibao na vifo vingine.
Kuchukuliwa hadharani na kwenda kuuliwa!
Ajifunze kuwa KITI alichokalia hakina JINSIA, ni mamlaka.bado wanachunguza kifo cha kibao😂😂😂.wanamuonea sababu ni mwanamke.
Mauaji hataki ila kusema anaogopa
Kila anapofungua kinywa kuongea anazidi kuharibu Badala ya kuunganisha wananchi!!Failure president.