Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa live kwenye halaiki na watu walio na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
 
Salaam, Shalom!!

Nchini petu tangu lini imewahi Kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu Kisha kumfunga mtu na kuondoka naye Kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi Cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Hivi karma kweli inafanyakazi?
 
Sasa hiyo ni pressure ya kujitakia,

Kipi Rahisi, kumfuata KAZI IGP, Waziri Masauni au kuwaacha Ofisini uongozi wake , chama chake, viendelee kuonyesha vidole?
Hilo ni jukumu la jamii, jamii iliyo nyamaza, (kaa kimya), huwa haijuhusishi na maswala kijamii, silence surrenders public responsibilities, jamii ya bora liende
 
Tatizo uwezo wake mdogo ndiyo maana anaona kama tz tumekuwa developed country kumbe hamna kitu.Huyu hafai kabisa kutuongoza .2025 hatutampa kura zaidi atapata kura mbili yaani ya kwakwe na mwanaye abdul
 
Back
Top Bottom