Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

Salaam, Shalom!!

Nchini petu tangu lini imewahi Kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu Kisha kumfunga mtu na kuondoka naye Kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi Cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Duh 🙄!
 
Hivi karma kweli inafanyakazi?
Apandacho mtu ndicho akatachovuna.

Asipovuna Yeye watavuna watoto wake na mpandaji au hata majukuu wake maana katika roho kesha panda na hakuna budi kuvuna.

Wakati wakuvuna kuna kilio na maumivu makali, na kuna wengine wakati wa kuvuna ni kicheko na furaha sana.
 
Sasa hiyo ni pressure ya kujitakia,

Kipi Rahisi, kumfuata KAZI IGP, Waziri Masauni au kuwaacha Ofisini uongozi wake , chama chake, viendelee kuonyeshwa vidole?
Kama ni kweli serikali haihusiki,bas Igp na waziri wasimamishwe mara moja maana wanahusika wao ama kazi imewashinda kuwatambua hao watu
 
Karma is real, Damu ya mtu ni nzito kuliko maji, ikiwa una nduguyo aliwahi kuua ,nenda muulize experience!!
Akili huwa haipo katika utulivu asilimia zote na hata ujitaidi vipi kupambania utulivu wa ndani unaidhia kuishi maisha ya kupretend.

Ndo maana wanaIsrael wanalipokuwa wanafanya mauaji wanasema kauli hii na hii damu inayo mwagika na ihesabike juu yake marehemu.

Wauwaji wengi damu za marehemu huhesabiwa juu yao.
 
Ifike sehemu tuache kusema watu wasiojulikana tuanze kutumia jeshi la polisi
 
Salaam, Shalom!!

Nchini petu tangu lini imewahi Kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu Kisha kumfunga mtu na kuondoka naye Kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi Cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Ili muone Nuru kutoka kwenye giza totoro mlikofungwa kiroho na kimwili, kwa kuendekeza imani potofu za kushirikiana kutafuta uongozi, kwasababu kwa hoja hamueleweki, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuwachukua na kuwafanya vijana wenu misukule Lazima muendelee kuona giza tu..

Acheni masuala ya uganga, ushirikina na uchawi mara moja, sawa gentleman?🐒
 
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Ukiona ameanza kulisema basi limemgusa.

Hatuhitaji maneno mengi tunataka kuwajua wasiojulikana ni akina nani na wanafokishwa mahakamani kujibu tuhuma zao.
 
Ili muone Nuru kutoka kwenye giza totoro mlikofungwa kiroho na kimwili, kwa kuendekeza imani potofu za kushirikiana kutafuta uongozi, kwasababu kwa hoja hamueleweki, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuwachukua na kuwafanya vijana wenu misukule Lazima muendelee kuona giza tu..

Acheni masuala ya uganga, ushirikina na uchawi mara moja, sawa gentleman?🐒
Hahaha.......tabu iko pale pale bila kuwakamata.....usingizi hamtapata kamwe
 
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Umesema ukweli kabisa!
 
Hata Mbowe aliuliza kama tuna makosa si tukamatwe lakini ndiyo hivo kuna vitu havikamatiki na havishitakiki.
Kama hawataki vyama vya upinzani basi walete muswada wa kuvifuta Ili turudi chama kimoja.
 
mkiacha ushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuwafanya vijana wenu misukule, mtaona Nuru na mwanga wa milele 🐒

Kwa hiyo wanapotoana kafara wanakuwa na leseni tokea kwa dola?
 
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Keshasema wanaouawa ni sisimizi
 
Nilisikitika sana Mhe. alipolinganisha kuuwawa kwa Kibao na vifo vingine.
Kuchukuliwa hadharani na kwenda kuuliwa!
Ikiwa Mzee kibao alifanya kosa linalostahili kuuwawa,

Angehukumiwa court, Kisha mheshimiwa akatia Saini Ili anyongwe hadharani sawasawa na matakwa ya Katiba na Sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom